Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Kauli za kuita watu MASISIEMU, huwezi msikia mgombea mwenye busara akitumia majina ya ajabu. Hii itamgharimu ila bavicha watabisha.
Kauli kama hizi hazitamsaidia. Huyu jamaa chama chake kisipo m-structure atakuja kuwa "poor presidential candidate ever come from opposition".
Kama CDM watamteua basi wafanye kazi ya kumpa semina ya ku handle personal traits kama emotions kumuondolea ile hali ya kuwa "kuhemka sana".
 
Hivi Saddam alikua ni rais wa wapi?
 
Na bado Lumumba mta panick sana, yaani kuonesha kutia nia ya kugombea tayari mnafananisha kuwa hotuba hii ya Mh. Tundu Lissu ni kama vile ya siku ya mwisho wa kampeni na uchaguzi utafanyika Tanzania kesho Jumanne June 9, 2020.
 
Ndugu zangu,

Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.

Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.

Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
Toeni hii tume ya chato wekeni tume huru muone kama mtatoboa
 
Sawa sawa nami nakushauri ujiandalie kabisa kitanzi maana baada ya October utakuwa chini ya utawala wa mh Lissu
Nalitegemea jibu hilo kwa kuwa linawakilisha kiwango chako cha UFAHAMU na UELEWA
 
Kwa kuwa ni Tanzania pekee ndiyo wamenunua hizo ndege mkuu! Huko Kwa wengine Kwa sasa yamepaki yanawaongezea nini
Hawa jamaa utafikiri wamekulia nyumba moja yani hoja zao za hovyo hovyo na ushabiki wa kiharakati. Nakumbuka hata Lowasa alibatizwa Fisadi na baadae wakadeki lami. Mtu ndumila kuwili si wa kumwamini kabisa.
 
Back
Top Bottom