Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
Kauli kama hizi hazitamsaidia. Huyu jamaa chama chake kisipo m-structure atakuja kuwa "poor presidential candidate ever come from opposition".Kauli za kuita watu MASISIEMU, huwezi msikia mgombea mwenye busara akitumia majina ya ajabu. Hii itamgharimu ila bavicha watabisha.
Kama CDM watamteua basi wafanye kazi ya kumpa semina ya ku handle personal traits kama emotions kumuondolea ile hali ya kuwa "kuhemka sana".