Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

We jamaa ni mpumbavu sana, wenzio wanaenda kuomba msamaha UN we bado unajambajamba tu hapa,embu tafuta kazi ya kufanya kuliko kukalia gunzi daily.
Hao mabasha zako wanalia,we bikra utafanyaje?
 
jerusalem-old-city-western-wall-with-israeli-flag.jpg
 
Wa Israel mpaa leo wanaitafuta
Solomon's Temple wao wanammuita King Solomon. Wameisha mulika kwa tochi mpaa chini ya Masjid Al Aqsa hawajapata hio Salomon's Temple. Sababu hakuwahi kujenga Temple ali rudia ku ujenga Masjid Al Aqsa. Hawa Wayahudi vichaa kweli kama hawa tulionao hapa wayahudi weusi. Wanatulazimisha watupe bikra 72 za kutoka kanisani 😄
Selemani alikuwa na 700 wanawake, ni kichaa pekee anaweza kufikiri wanawake 72 haiwezekani mwanaume kumiliki
 
Wanaukumbi.

Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.

Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani
itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu
"Sio malengo yote
inaweza kupatikana kupitia operesheni za kijeshi peke yake.
=========================
Power is not the essence of everything
To realise our moral and ethical duty to bring our hostages home
will have to make painful concessions
"Not all objectives
can be achieved through military operations alone.


View: https://x.com/kahlissee/status/1850682346976018580?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw


View: https://youtu.be/CC6e6W5j1jU?si=MwAxv_VZ0hWS22wB

Hivi,wewe huwa unatafsiri mambo kinyumenyume?
 
Back
Top Bottom