Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #141
Uwanja wa vita hapo vijibweni?!
View: https://x.com/kahlissee/status/1850966169978609838?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja wa vita hapo vijibweni?!
Mbona ni picha hizo hizo siku ya 3 leo? au ndio hakuna hoja
Selemani alikuwa na 700 wanawake, ni kichaa pekee anaweza kufikiri wanawake 72 haiwezekani mwanaume kumilikiWa Israel mpaa leo wanaitafuta
Solomon's Temple wao wanammuita King Solomon. Wameisha mulika kwa tochi mpaa chini ya Masjid Al Aqsa hawajapata hio Salomon's Temple. Sababu hakuwahi kujenga Temple ali rudia ku ujenga Masjid Al Aqsa. Hawa Wayahudi vichaa kweli kama hawa tulionao hapa wayahudi weusi. Wanatulazimisha watupe bikra 72 za kutoka kanisani 😄
Hiyo free world ndio pamoja na lile parade la mapunga?
Halafu ushangali Israel anavyouwa watoto Gaza.
Bias konkiJF picha za maiti za Israel wamepiga pin ukipost tu hazifunguki. Zingine ruksa kupost😂
Wanaukumbi.
Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.
Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani
itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu
"Sio malengo yote
inaweza kupatikana kupitia operesheni za kijeshi peke yake.
=========================
Power is not the essence of everything
To realise our moral and ethical duty to bring our hostages home
will have to make painful concessions
"Not all objectives
can be achieved through military operations alone.
View: https://x.com/kahlissee/status/1850682346976018580?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://youtu.be/CC6e6W5j1jU?si=MwAxv_VZ0hWS22wB