HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

M

Mpaka itokee utakuwa uko mbinguni na jiwe
Hili suala la China kuwa superpower linazungumzwa tu na vyombo vya habari na wachambuzi wa West

Ila China haijawahi ku-claim kuwa ni superpower au inataka kuwa superpower

Ni vile tu Marekani imekuwa na inferiority complex dhidi ya China miaka ya karibuni
​
 
Huawei hana Capacity ku rival Nvidia, hio yenyewe kutengeneza chip ya AI inabidi simu zake za mate ziwe postponed sababu hakuna Capacity.

Kifupi Duniani leading edge node ni moja tu kwa sasa inapatikana Tsmc, bila wao ni either utumie node za kizamani ama ule hasara kutumia node za SMIC ama Samsung ambazo zina yields ndogo sana as of now.
 
badly hii vita CHINA hawezi kushinda, uanchotakiwa kuelewa ni kinachofanya AI ifanye kazi sio kua na izo kadi tu bali kuna software inaitwa CUDA (Compute Unified Device Architecture) bila hii graphics card haziwezi kufanya kazi ya AI bali zitafanya kazi za kawaida kama graphics na gaming, CUDA ni special kwa ajili ya kuzitumia zile core za GPU zifanye kazi zote kwa pamoja, unfortunately CUDA is created by NVIDIA and works with NVIDIA only and even deep seek uses NVIDIA ila sio zile powerful kihivo but ni NVIDIA bado
 
Wewe ndio una-underestimate Huawei, kafanye utafiti wako uone ubora wa Huawei's Ascend 910C kwa nini tuandikie mate na wino upo?

Kwanza ukae ukijua NVIDIA ni manufacturer wa GPUs ila inapohusu chips wao ni designer tu linapokuja suala la manufacturing wana outsource kwa TSMC

TSMC ni leading semiconductors foundry company hatukatai, lakini haimaanishi kuwa wao ndio wana monopoly tech ya kutengeneza chip.

China wana kampuni kama SMIC na inafanya vizuri sana ya tatu baada ya TSMC na Samsung

Tunaishi kwenye dunia ya innovations Huawei kama wameweza kutengeneza EUV machine ambayo ilikuwa inatengenezwa na ASML tu peke yake unawachukuliaje?
​
 
China hawana haja na CUDA, wana MUSA SDK ecosystem ​
 
Lakini hapo hapo, Wanafunzi wengi wa China hupelekwa kusoma vyuo vya Marekani.
Na Chinese wengi hutumia hata njia haramu kukimbilia US, kuliko wa Marekani kwenda China
 
Lakini hapo hapo, Wanafunzi wengi wa China hupelekwa kusoma vyuo vya Marekani.
Na Chinese wengi hutumia hata njia haramu kukimbilia US, kuliko wa Marekani kwenda China
Kuna shida mtu kwenda kusoma taifa lingine?​
 
Soko la HAUWEI liko wapi? Maana naona kama zimepotea kabisa mtaani?
Zipo wana matoleo mapya na ya tech ya hali ya juu sana google Pura na Mate XT the first tri fold smartphone in the world​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…