Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #101
1. Nioneshe capacity ya Huawei Kutengeneza Ascend 910C wanaweza kutengeneza unit ngap na demand ni unit ngap unalikwepa swali langu toka juu hulijibu.
-Umeme: 310 watts2. Ascend 910C hakuna data zozote zile zaidi ya Vague estimation,
Unaweza nipa majibu haya
-inakula umeme kiasi gani per pod? Vs H100?
-bandwidth yake ipoje per pod
-perfomance yake per pod?
Watu hawatumii Dram kwenye AI wanatumia HBM.
For comparison dram Bandwidth ya dram ya kisasa kama Ddr5 ni around 30GBps wakati HBM inaenda hadi 400GB/s zaidi ya Mara 10, same kwenye bus width HBM bus width inafika hadi 1024bit wakati width ya Ddr5 kawaida ni 64 ama 128bit na Gpu kali kama Rtx 5090 bus lake ni 512Bit tu.
Samahani unalipwa na China?? Coz naona mabandiko yako mengi yanaipa sifa sana China na kuishusha Marekani plus Wamagharibi! Kila kitu cha Mchina ni kizuri ila cha Mmarekani plus Wamagharibi ni kibaya!Na sehemu nyingi imewa-outcompete
Sasa hapa ni Tatizo la Financial times ama la kwako? Wapi FT kaongea ulichosema wewe? Ukisoma tu kichwa cha habari hapo kinapingana na ulichosema, wao wame report claim ya Donald Trump na hawaja sema Donald Trump amekutana na Xi.
Boss mimi siongei propaganda kama wewe na kuongea uongo uongo tu.Nilikuwa nakuonyesha capabalities ya CXMT na YMTC ukicompare na hao Samsung wako
Turudi kwenye hoja yako sasa CXMT, YMTC na JHICC wamedevolop next-gen memory tech HBM3 class memory
Sasa ni mwendo wa Ascend 910C+HBM3 hapo ni full AI compute independence
Unajua hata maana ya FP na int? Tunapotezeana muda tu hapa, source ya claim yako ni ipi?-Umeme: 310 watts
-Bandwidth 3.2 TB/s
-FP16 na INT8
Kusema na kuweza ni tofauti,Huawei wamesema watafanya mass shipment ya hizo chips, wewe unaewaje hiyo sentensi?
mzee hakuna alternative ya CUDA, deepseek wangekua washaanza kuitumia mda mrefu na wala wasingekua wanahangaika kupokea izo NVIDIA kutoka marekan, ni sawa sawa useme tanzania tunalima maindi mengi yenye ubora na kutosheleza mahitaji alafu bado uagize nje, ivo vitu havipo
Boss mimi siongei propaganda kama wewe na kuongea uongo uongo tu.
Cxmt road map yao inaonesha watatetengeneza Hbm3 mwaka 2026 na Hbm3E mwaka 2027, sio maneno yangu bali ni Roadmap yao wenyewe ikiwa reported na Analyst kibao
View: https://x.com/rwang07/status/1903465600560804012
Pia Huawei Ascend 910C haitumii HBM za China Bali za Korea toka Tsmc ambazo walinunua kabla ya ban source
Huawei AI CloudMatrix 384 – China's Answer to Nvidia GB200 NVL72
China Abundance of Power, 100% Optics, 0% Copper, Power Inefficiency, 2.6x lower FLOP per Watt, 14 Transceivers per Chip, Linear Pluggable Opticssemianalysis.com
So naomba ni jibu hivi kwa ushahidi
1. Nioneshe Cxmt wanatengeneza HBM3/3E sasa hivi
2. Nipe Ushahidi Ascend 910C inatumia HBM za china
Unajua hata maana ya FP na int? Tunapotezeana muda tu hapa, source ya claim yako ni ipi?
Kusema na kuweza ni tofauti,
yawezekana huelewi izi AI znafanya vp kazi, unatumia siasa sana, ushawahi kujiuliza kwann NVIDIA peke yake ndo imekuja kufanikiwa katika AI na kuna chips nyingi duniani nzuri kuanzia AMD, na ushawahi kujiuliza kwann wachina wanaingiza NVIDIA kwenda china kwa magendo? ukiongelea uhalisia na kama kwel unataka uhalisia china hawezi kushinda battle ya NVIDIA hawa jamaa they are popular and successful sio kwa siasaUnatoa tuvihabari vyako kutoka kwenye vyanzo visivyo realiable hili ndio tatizo lako.
Huwezi kupata chanzo kutoka nje ya China esp West ambacho kitaonyesha progress ambazo Chinese semiconductor companies zimefanya
SMIC inatumia Duv za Asml zikiharibika hawana mbadala, Tsmc anatumia EUV ambazo China hawana kabisa, si kila kitu ni maembe kwamba unachuma, kupack na kuuza. Tech kama Duv na EUV zitachukua China si chini ya miaka 10 kuweza kutengeneza.Hakuna taifa linaloifikia China inapokuja kwenye mass production ya product yoyote kwa sababu ya strong supply chain
Hujui kwa kiswahili rahisi Nimekuuliza "huo mchele una uzito kiasi gani?" na wewe ukanijibu "una gram na lita"Wewe mpaka nimepost unadhani sijui ninachoandika. You are too shallow in this field
Tsmc anatumia EUV ambazo China hawana kabisa, si kila kitu ni maembe kwamba unachuma, kupack na kuuza. Tech kama Duv na EUV zitachukua China si chini ya miaka 10 kuweza kutengeneza.
Hao ni semi analysis ambao ni katika reliable site za Semiconductor,Unatoa tuvihabari vyako kutoka kwenye vyanzo visivyo realiable hili ndio tatizo lako.
Huwezi kupata chanzo kutoka nje ya China esp West ambacho kitaonyesha progress ambazo Chinese semiconductor companies zimefanya
kwaheri. We jamaa noma kwa huu uongo unaosema wazi wazi hata uambiwe nini huwezi a mini.China limekuwa taifa la kwanza kuunda mashine ya kwanza ya EUV kutengenezwa nje ya Uholanzi
China inatumia teknolojia ya LDP badala ya LPP ya ASML, imefanyiwa majaribio katika kituo cha Huawei cha Dongguan
SMIC inatumia Duv za Asml zikiharibika hawana mbadala