HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

kwaheri. We jamaa noma kwa huu uongo unaosema wazi wazi hata uambiwe nini huwezi a mini.
Kila la heri, ukijisikia tena karibu kuja kwenye hii arguments.

Kwa sasa China wameshaanza kutumia domestic DUV machines

Na kwenye Q3 ya mwaka huu na 2026 Huawei wataanza trial production na mass productuon ya EUV machines


​
 
800TFLOP of FP16 na 64 of INT8
 
Ni wapi China imesema inaingizia kimagendo chips za NVIDIA?

Trump ameshapiga ban chips za H20 na H100 zisiingie China.

So far imeathirije AI industry ya China?
​
 
Marekani kazi yake kutoa green card, s holarship nk. Wachina wanakomaa wenyewe, siku wakuanza kuyoa scholarship kwa wingi USA atakosa talents na ndio kifo chake. Sasa hivi wanawatum8a sana wahindi, wahindi wakishtuka USA itakufa kiteknolojia.
 
Hakuna uhanga hapa kwa vyote ulivyo andika unless uniambie kuwa waafrika akili hazipo kugeuza yote haya fursa.
 
Wewe Chief ni nguli wa tech hapa JF utapoteza muda wako bure kujibizana na huyo mpumbavu ambaye ana mahaba niue kwa China..
Huyu mchina feki wa JF ni muongo kupindukia huyo ni China yawa ya kwanza kwenye....
China yawa ya kwanza kwenye....
Na unakuta alichoandika ni uwongo mtupu.
Alitaka awapange wanaJF sasa kala kipondo kwa chief Mkwawa kabanwa mpaka kashindwa pa kutokea.
Kweli Chief Mkwawa amuache tu
 
Ni wapi China imesema inaingizia kimagendo chips za NVIDIA?

Trump ameshapiga ban chips za H20 na H100 zisiingie China.

So far imeathirije AI industry ya China?
​
basi itoshe kusema hujaelewa hii trade war inaendaje, hakuna mtu duniani mpaka sasa anaweza kureplace NVIDIA, bila NVIDIA hata crypto hazifanyi kazi leave alone AI, NVIDIA is too way ahead on the CHIP game, anaefuatia anaitwa AMD ni mmarekani pia lakini yupo miaka buku nyuma!
hilo la kwanza

2) NVIDIA zote zilizopo china zmeingiziwa kimagendo na unaweza kuingia hatiani ukikutwa na NVIDIA chips za uwezo flan, last few months iligundulika underground tunnel inaotumika kuingiza NVIDIA nchini



sasa wewe endelea kukaa apo ukahisi china anajiweza
 
Kila la heri, ukijisikia tena karibu kuja kwenye hii arguments.

Kwa sasa China wameshaanza kutumia domestic DUV machines

Na kwenye Q3 ya mwaka huu na 2026 Huawei wataanza trial production na mass productuon ya EUV machines


​
we jamaa unawapenda wachina sana,
 
Zinaingia ku
Achana na hizo habari za anti China media kama Reuters na WSJ

Habari kama hizo za anti China media utazipata Bloomberg, NYT, Reuters na WSJ tu

Ni wapi serikali ya Marekani au NVIDIA wenyewe wamekiri kuwa chips za NVIDIA zinaingia China kimagendo?
​
 
Hebu soma hiyo article kutoka Reuters moja ya anti China media. Tatizo lenu hamtaki ukweli kuwa Huawei imeachieve kwenye kutengeneza AI chip bora kuliko hata ya NVIDIA H20

Au hapa hamkubaliani na Reuters?



View: https://x.com/Reuters/status/1914325861043409319?t=tf1-t9PnRYCE14wmM8fvLw&s=19​
 
kwan si Xi alishasema mara za kutosha hakuna kuingiza NVIDIA nchini, shida umeweka siasa mbele ukwel ni kwamba china inahitaji sana NVIDIA na haina budi na ata deepseek inatumia NVIDIA
 
mbna news inaelewweka kabisa inasema wanataka kutumia kama alternative, haimaanishi kwamba wamepata alternative ila wanaforce ivo ivo kutokana na hali halisi lakini sasa NVIDIA mzee iko mbal, sjui nkueleze vp uelewe ila NVIDIA ni mafia wa GPU, kadi zao zpo miaka buku mbele na sio issue ya kadi tu nmekwambia unaweza kua na kadi yenye uwezo zaidi ya NVIDIA ila bila kua na CUDA mzee hutoboi, ata uloge
 
kwan si Xi alishasema mara za kutosha hakuna kuingiza NVIDIA nchini, shida umeweka siasa mbele ukwel ni kwamba china inahitaji sana NVIDIA na haina budi na ata deepseek inatumia NVIDIA
Kwa hiyo Xi alisema China wanaingizia hizo chips kimagendo?

Haujajibu swali je, serikali ya Marekani ilikiri kuwa chips za NVIDIA zinaingia China kimagendo?

Kama Huawei wameweza kutengeneza AI chips wanahitaji NVIDIA ya nini?
​
 
Mkuu wewe ni mjamaa mwenzetu kabisa, mbona hutuungi mkono juu ya habari za China?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…