Wewe pia unaingizwa katika mijadala hii ya kipumbavu??Mbaya zaidi wakati wanajadiliana 'huyu tayari, saa tisa alasiri tumpige chepe' wewe unawasikia ila huna cha kufanya πππ
Ebwanae dahHii inshu sio kwa waislam tu hii inahusu jamii zote zakimasikini. Kama hamna huduma za afya afya za uhakika kuzikana wazima wazima ni jambo la kawaida ata ulaya miaka hiyo walikuwa wanazikana wazima had wakaanza kuweka kengere kwenye makaburi.
Huu mjadala sio wa kipumbavu we kubali africa tunazikana sana tukiwa tumezimia au kwenye comaWewe pia unaingizwa katika mijadala hii ya kipumbavu??
Mbona unaonekana kuwa Bora kuliko hivi??
Waachie hawa vijana wadogo haya mambo ya kipumbavu. You are better than this.
Hakika!Ningeshangaa kama uzi ungepita bila kejeli,anyway kila nafsi italipwa kwa kile ilichokichuma
Sasa unazungumzia Africa au unazungumzia Waislam??Huu mjadala sio wa kipumbavu we kubali africa tunazikana sana tukiwa tumezimia au kwenye coma
Mbona mnasilimishana..toa ujinga wako hapa.Kila binadamu kazaliwa akiwa muislam alafu wewe sijui unaongea nn
Ulikuwa hujui tu mimi ni bonge ya mpumbavu.Wewe pia unaingizwa katika mijadala hii ya kipumbavu??
Mbona unaonekana kuwa Bora kuliko hivi??
Waachie hawa vijana wadogo haya mambo ya kipumbavu. You are better than this.
kuna kesi moja nazani mwaka juzi kuna kijana mmoja alikua panya road akapigwa mbagala huko wakajua kafa wakampeleka temeke hospital akazindukia mochwali akaongea kila kitu wakakuta ni mwanafunzi wa form two hadi wazazi wake walitaitiwa video iko you tube nazaniMbona hatuoni waliowekwa kwenye friji wakifufuka au mlinzi huwa anawapiga nyundo
Kuna watu wameharibu mjadala kwa kuleta kejeli,na wewe umepenic mno wakati unajua watu kama hao hawakosi,relax hakuna dini bora zaidi ya ingineSasa unazungumzia Africa au unazungumzia Waislam??
Mijadala ya kukashifu imani za watu ni wa kipumbavu. Unafanya hivyo ili upate nini?? Ili uonekane mchekeshaji mzuri au??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbaya zaidi wakati wanajadiliana 'huyu tayari, saa tisa alasiri tumpige chepe' wewe unawasikia ila huna cha kufanya πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii iliwahi kutokea kwetu wallah. Ila muhusika alikua mkristo.Mzee abdallah alizimia siku 3 ...ustadh mmoja akaamuru mzee atolewe kitandani aoshwe na aswaliwe sala ya mayyit....wakati tunampeleka mzee abdallah kumzika akiwa ndani ya jeneza si akakohoa na kupiga chafya..aisee watu tulipoteana kwa kukimbia tukamuacha mzee abdallah ndani ya janayza....
Kwa joto lile utafufukaje? Unakufa mazima.Hili jambo ni zito waislam washauriwe kuacha hii tamaduni imagine unafufuka ukiwa kaburini utaliajeeeeee
HahahahKabisa hilo nakubaliana na wewe
Tena kwa africa ndio usiseme tumezika wagonjwa wengi sana waliozimia
Taarifa ya mtu kufa inatangazwa asubuhi kua mgonjwa amekufa alfajiri halafu saa 7 mchana watu wanapanga reli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahUlikuwa hujui tu mimi ni bonge ya mpumbavu.
Kheeeeeh ingekua kijijini angeshafukiwa chini wallah. [emoji24][emoji24][emoji24]kuna kesi moja nazani mwaka juzi kuna kijana mmoja alikua panya road akapigwa mbagala huko wakajua kafa wakampeleka temeke hospital akazindukia mochwali akaongea kila kitu wakakuta ni mwanafunzi wa form two hadi wazazi wake walitaitiwa video iko you tube nazani