Huenda kuna waislam wengi duniani wameshazikwa wakiwa hai

Njoo huku bara sio huko zenji ukipiga filimbi mji mzima unasikia,huku bara kuna vijiji mpaka uifikie hospitali ni km kadhaa,sasa nikikutikisa mara tatu ukakausha mi napiga yowe tunakupiga chepe fasta.
 
Huko Vijijini unakosema,kuna watu wataalamu,na hawakusomea mambo ya afya,lakini wamerithi kutoka mababu na mababu,kuanzia kutibu,dawa,uuguzaji,ukunga wa jadi,hao watu wakiwa ni dini tofauti.Tanzania bara hakuna familia ya kiislamu,isiyohusiana na ukristo,Mpaka waarabu wapo wenye ndugu ni wakristo,wenyeji.
Ukiangalia kwenye ukunga,wapo wakunga wa jadi,ambao wanazalisha wanawake Vijijini Bila kujali ni wa dini gani,na wakunga walikuwako toka enzi za mabibi na mababu.Na ndio hivyo hivyo wataalamu,wanaojuwa kama mtu amefariki au bado,bila kujali,anayepima ni wa dini gani na anayepimwa ni wa dini gani.
 
Mkuu kuna vitu vingi sana hujui kwenye mazishi ya waislamu, achana navyo, wenyewe watakupiga mawe.
Najua waislam hawapendi dini yao ijadiliwe ila wawe wapole tu tueleweshane
 
Huyo wa jadi ana limit kuna vitu lazima utumie vipimo vya hospitali sio kwa sababu moyo haudundi au umekuwa wa baridi au jiicho jeupe,kuna minor chances ukawa bado hai
 
Huyo wa jadi ana limit kuna vitu lazima utumie vipimo vya hospitali sio kwa sababu moyo haudundi au umekuwa wa baridi au jiicho jeupe,kuna minor chances ukawa bado hai
Hayo ya wakunga wa jadi,kupata mafunzo ya hospital,ni miaka karibuni,lakini enzi za miaka 1980,kurudi nyuma ilikuwa hakuna mafunzo yoyote ya kiafya wanapewa,wala vifaa vya kisasa ilikuwa hakuna,mafunzo yalianza baada ya kuja gonjwa la ukimwi. kwa hiyo,wazazi cha nyuma ya miaka ya 1980 walizalishwa na wakunga wajadi waliokuweko Vijijini na mijini bila mafunzo yoyote ya afya.
 
Najua waislam hawapendi dini yao ijadiliwe ila wawe wapole tu tueleweshane
Mkuu hawa watu kabla hawajazika wanakamua mavi maiti ili kumtakasa, sasa wanawezaje kuwazika watu wazima? Ujue mfu anakamuliwa kisawasawa!!!
 
Najua waislam hawapendi dini yao ijadiliwe ila wawe wapole tu tueleweshane
Ukisema hivyo unakuwa unakosea, unaweza kuuliza lolote kama ikiwa lengo lako ni kufahamu na utafahamishwa, ila kuhukumu kwa mawazo yako tena jambo usilolijua hapo unakosea.

Ukisoma comments nyingi utaona watu wanachanganya mambo mawili, baina ya kuthibitisha kifo na suala la kuwahi kuzika.

Ni kweli waislamu tunautaratibu wa kuwahi kuzika, but what difference does it make, hata kama tungekuwa tunachelewesha kuzika, ikiwa imethibitishwa huyo mtu ameshakufa?

Hivyo kama kunauwezekano wa mtu kuzikwa hai basi tatizo lipo kwenye kuthibitisha kifo na sio kwenye muda gani huyo mtu atazikwa.

Na kwa hapa ndio useme waislamu tunatumia njia gani( yenye mapungufu) na wasio waislamu wanatumia njia gani( iliyokamilika) kuthibitisha kifo?
 
Na ili kusema kuchelewa kuzika kunaweza kuthibitisha kama kweli mtu amekufa au la
Basi ingelazimu mpaka Sasa tuwe tumeshuhudia watu wengi wamezinduka baada ya kudhaniwa wamekufa baada ya kucheleweshwa kuzikwa.

Hii huwenda ingekuwa hoja kuwa basi waislamu tunakosea zaidi maana tunawahi kuzika.

Lakini hatuoni watu wakizinduka, pamoja na kwamba watu wanachelewesha kuzika.

Lakini hii nayo inaturudisha pale pale kuwa tatizo lingekuwepo kwenye kuthibitisha kifo na sio muda gani mtu atazikwa baada ya kufa.
 
Mhh huwa si anakamuliwa nnya kabla hajazikwa.

Muda wa kukamuliwa nnya ndio muda pekee wa kufufuka /kushtuka
 
Kwa ufupi africa sub sahara countries kuna wachache wetu hudhaniwa tumekata roho hata kama bado sababu ya kukosa wataalamu wa huduma za afya karibu bila kujali ni waislam au wakristo
 
Si vyema kukashifu imani za wengine mkuu
Usiuchukulie huu uzi katika mlengo wa kidini bali katika muktadha wa kuwahi kuzikana na kukosa watalam wa kuthobitisga kifo.iwe mkristo au miislami
 
Pole sana. Wenda alikuwa kada kweli au la.
Bado tuna amin moyo kusimama ndio kufa ila ipo siku moyo kusimama hairatumika kama kigezo pekee cha kuthibisha kifo.
 
Na cha kushangaza huyu anayecheleweshwa kuzikwa sio kwamba kawekwa sehemu anapewa huduma ili azinduke bali yupo kwenye friji..sasa sijui atazindukaje wakat yupo kwenye friji
 
Hata Yesu Alayhi Salaam ushahidi wote wa ndani ya Biblia unaonesha alipoingizwa ndani ya "chumba" au pango (sepulcher) cha kuzikiwa alikuwa yu hai. Maana hata kina Mary Magdalene alipokuja kuhakikisha, likathibitika hilo. la kuwa yu hai. Anaebisha hili asikurupuke, ni kwa ushahidi kabisa wa Biblia.

Kwa ufupi, unalosema linawezekana kwa sababu tofauti, kuna kesi nyingi za watu, hata madaktari wanahakikisha kafa, lakini bado yu mzima.
 
Kabisa hilo nakubaliana na wewe

Tena kwa africa ndio usiseme tumezika wagonjwa wengi sana waliozimia

Taarifa ya mtu kufa inatangazwa asubuhi kua mgonjwa amekufa alfajiri halafu saa 7 mchana watu wanapanga reli
Vipi tunathibitisha kwamba mtu kafa sasa tumzike ?
 
Na cha kushangaza huyu anayecheleweshwa kuzikwa sio kwamba kawekwa sehemu anapewa huduma ili azinduke bali yupo kwenye friji..sasa sijui atazindukaje wakat yupo kwenye friji
Vijijini hakuna mafriji huko
 
Kwa ufupi africa sub sahara countries kuna wachache wetu hudhaniwa tumekata roho hata kama bado sababu ya kukosa wataalamu wa huduma za afya karibu bila kujali ni waislam au wakristo
Sahihi, hivyo inabidili ili suala litazamwe kwa umakini ili kuepusha maafa kama haya.

Maana kumzika mtu ikiwa bado hajafa kabisa sio jambo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…