Pre GE2025 Huenda mmoja kati ya hawa akamrithi Rais Samia Suluhu 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwakani hakuna uchaguzi mkuu?
mmeandikishiana mkataba wa pumzi na Mungu?
Katiba ilibadilishwa lini kuwa miaka 10?
 
Tujadili 2025
30 ni mbali sana
 
Kwamba hakutakuwa na upinzani na upinzani hautashinda?
Kwamba lazma CCM washinde?
ACT,NCCR au CUF hawawezi kushinda?
 
Namba 1 hadi 5 alipaswa kuwa mtu mmoja tu, Dotto Mashaka Biteko. Hao wengine wote ni majina tu umetumia kujaza orodha.

Mtu kama Kafulila au Polepole nao wa kuwaweka kwenye list? Iko wazi Waziri Mkuu ajaye ni Biteko na Rais ajaye ni yeye pia.

Ova
Hakika huyu ndie chaguo la Mungu.
Na iwe ivyo Kwa Kadir yake Muumba
 
Unachekesha wewe. Wananchi wanataka mama aachie kiti 2025 wewe unasema 2030? Utakua unapima upepo. Watz wanataka kiongozi atakayeendeleza sera na msimamo wa kimagufuli. Kama ccm haiko tayari kuwapatia kiongozi kama huyo watampata chama kingine. Mark my word.🏋️
 
Namba 1 hadi 5 alipaswa kuwa mtu mmoja tu, Dotto Mashaka Biteko. Hao wengine wote ni majina tu umetumia kujaza orodha.

Mtu kama Kafulila au Polepole nao wa kuwaweka kwenye list? Iko wazi Waziri Mkuu ajaye ni Biteko na Rais ajaye ni yeye pia.

Ova
Dotto Biteko ana changamoto za Kiuhamiaji. Nafasi alizoshika sasa ndiyo za mwisho
 
Hao wote hapana, anaweza kuwa MSAKILA KABENDE
 
Hapo kuna jina moja tuu, na jingine halipo.
1. Mkumbo
2. SimbaChawene
 
Hapo hakuna Mtu hata mmoja labda uniambie naibu waziri Mkuu na waziri wa Nishati mbali na hapo ni bora achukuliwe dr. hussein Mwinyi tu hii nchi inataka waadilifu sio mtu kuvaa skafu shingoni na kazi hawezi
 
Ghalasa FC.
 
Twende Na Luhaga Mpina ndiye mzalendo zaidi
Mpina anafaa sana tatizo lake
1.Hajui fitna za kisiasa ,bongo ili ukae lazima uzijue yaan unauma na kupuliza
2.kanyooka mno ,ccm hutoboi kama huwapi hela watu
3.Hana ushawish kabisa hajui kupotray political figure ana behave kama mpinzani
Lakin naamin mungu ana chagua rais kura ni maoni yetu kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…