Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Sorry Mkuu, unazungumzia selection ipi hasa?Ipo siku...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry Mkuu, unazungumzia selection ipi hasa?Ipo siku...
Namwambia ukweli. Mimi na mambo yote ya humu nina kadi ya Chama na UVCCM. Nina cheti cha chuo nilikomaliza ni member wa UVCCM.Hahahahaha
Uko sahihi mkuu ipo siku hivyo vyeti na hizo kadi zitakupa ulaji mzuri endelea kuvitunza vizuri.Namwambia ukweli. Mimi na mambo yote ya humu nina kadi ya Chama na UVCCM. Nina cheti cha chuo nilikomaliza ni member wa UVCCM.
Japo sijawahi kuitumia CCM kama daraja la kuvuka. Ila naufahamu ukweli.
Hapo mwishoni umeongea kiume sana,,"lazima nichukue hatua mwenyewe" nmenukuu,,,mkuu hapo utakuwa umetatua tatizo bila hadhira kujua njia uliyotumia(sidhani kama naeleweka hapa).kila la kheriNachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine.
Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha?
Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni ningewezaje kwenda shule km. 5 kila siku nakurudi wakati sijui nitakula nini? na wazazi wanataka niwasaidie kazi za shamba kufidishia pesa nilizowagharimu kunisomesha?
Sawa, mmeangalia wale wenye miaka mingi, mbona mmemwajiri mwenyekiti wa UV CCM, katibu na Mhazini waliomaliza vyuo mwaka 2019 udsm na matawi yake yote? Na wakati tunajua wengine walikuwa na carry over karibia miaka yote?
Sawa, tuachane na kada ya ualimu. Mbona JKT mpwa wa general X mmempangia ajira JW na wakati hakuwa na sifa. Maana hakujenga ukuta wala nini. Na amewaacha Ma-service man aliyowakuta? Hii ndio Tanzania ya wanyonge?
Haki ya nani siwashitaki popote pale...lazima nichukue hatua mwenyewe na Mungu wangu.
Navitunza. Wala havinigharimu chochote. Kadi nimezilipia hadi 2022. Kuna nini tena?Uko sahihi mkuu ipo siku hivyo vyeti na hizo kadi zitakupa ulaji mzuri endelea kuvitunza vizuri.
Una masomo ga
Na vigezo vyote kama vilivyoorodheshwa na TAMISEMI...Una masomo gan
Kumbe umepungukiwa vigezo! Usimlaumu mtuNa vigezo vyote kama vilivyoolozeshwa na TAMISEMI...
Mi ni Mtanzania ila sio msukuma, mkatoliki na mwanachama wa CCM.
Tulitangaza maandamano nyinyi mkaendelea na shughuli zenu tuMwisho wa utawala huu wa kishetani umekaribia.
[emoji5][emoji5][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!Ndugu yangu, nchi hii kama unajijua ni mtu wa shida na huna connection jiunge UVCCM utatoka. I'm talking from experience.
Msituige sisi humu waropokaji na kupondea seikali. Sisi tulianza kujitegemea enzi za Kikwete.
Shauri zenu.
'Nina vigezo vyote kama vilivyoolodheshwa....'Na vigezo vyote kama vilivyoolozeshwa na TAMISEMI...
Mi ni Mtanzania ila sio msukuma, mkatoliki na mwanachama wa CCM.
LUna masomo ga
'Nina vigezo vyote kama vilivyoolodheshwa....'
Msomi wa chuo huyo!
Na darasani utatufundishia wanetu hayo hayo, kadri ya uelewa wako dhaifu.
Saa zingine Mungu huepushia mbali mabalaa waja wake kwa kuwanyima wale wote watarajiao mambo wasiyo na sifa nayo!
Pole.
Kuna dogo moja alikuwa kada wa CDM baadaye akaamua kujipendekeza CCM,akahamia CCM,lkn bado hajapata ajira,kalamba dume.Hiloo swalaa vjn weng leo wame data mkuu kunaa mkoa hakunaa aliyepata ajiraa masomo aina zote ...huu nao ulikuwaa n upumbafu ingawa ilikuwaa waz makada ilikuwaa kipau mbelee
Hahah na mimi nimeshangaa sana mkuu,maana najuaga wewe ni kada per se.Ipo siku yatakukuta na mimi mwanzo niliitetea sana hii serikali ya wanyonge hata ukisoma thread zangu za nyuma leo nimeonja joto.
w
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yupo yupo tu huyu BavichaMaskini bavicha upo upo tu