Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

Hahahahaha
Namwambia ukweli. Mimi na mambo yote ya humu nina kadi ya Chama na UVCCM. Nina cheti cha chuo nilikomaliza ni member wa UVCCM.
Japo sijawahi kuitumia CCM kama daraja la kuvuka. Ila naufahamu ukweli.
 
Namwambia ukweli. Mimi na mambo yote ya humu nina kadi ya Chama na UVCCM. Nina cheti cha chuo nilikomaliza ni member wa UVCCM.
Japo sijawahi kuitumia CCM kama daraja la kuvuka. Ila naufahamu ukweli.
Uko sahihi mkuu ipo siku hivyo vyeti na hizo kadi zitakupa ulaji mzuri endelea kuvitunza vizuri.
 
pole mkuu....kuna binti mmoja namfahamu ana GPA 4.6 hajapangwa
 
Hapo mwishoni umeongea kiume sana,,"lazima nichukue hatua mwenyewe" nmenukuu,,,mkuu hapo utakuwa umetatua tatizo bila hadhira kujua njia uliyotumia(sidhani kama naeleweka hapa).kila la kheri
 
Uko sahihi mkuu ipo siku hivyo vyeti na hizo kadi zitakupa ulaji mzuri endelea kuvitunza vizuri.
Navitunza. Wala havinigharimu chochote. Kadi nimezilipia hadi 2022. Kuna nini tena?

Waleteeeee.
 
Sikupi pole mdogo wangu, wakati barua inatolewa kwenda kwa wakurugenzi wa halmashauri naimani uliiona je ulichukua hatua gani ya ghafla kama great thinker?

Nina uzi humu niliuandika binti mwenye degree ya mathematics kutoka Udom anatafuta kazi, kale kauzi kakapuuzwa baada ya kuiona ile barua na kwa uhuni niliobarikiwa naimani mshahara wake wa kwanza atanipa wote! Kama si robo tatu
 
Ndugu yangu, nchi hii kama unajijua ni mtu wa shida na huna connection jiunge UVCCM utatoka. I'm talking from experience.

Msituige sisi humu waropokaji na kupondea seikali. Sisi tulianza kujitegemea enzi za Kikwete.

Shauri zenu.
[emoji5][emoji5][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
 
Na vigezo vyote kama vilivyoolozeshwa na TAMISEMI...

Mi ni Mtanzania ila sio msukuma, mkatoliki na mwanachama wa CCM.
'Nina vigezo vyote kama vilivyoolodheshwa....'

Msomi wa chuo huyo!

Na darasani utatufundishia wanetu hayo hayo, kadri ya uelewa wako dhaifu.

Saa zingine Mungu huepushia mbali mabalaa waja wake kwa kuwanyima wale wote watarajiao mambo wasiyo na sifa nayo!

Pole.
 
Una miaka miwili mtaani?
Kuna waliomaliza chuo mwaka 2015 na wamejitolea sana lakini hawajapata
Poleni sana. Kuwa na subira 2025 tena watatangaza ajira
 
Hiloo swalaa vjn weng leo wame data mkuu kunaa mkoa hakunaa aliyepata ajiraa masomo aina zote ...huu nao ulikuwaa n upumbafu ingawa ilikuwaa waz makada ilikuwaa kipau mbelee
Kuna dogo moja alikuwa kada wa CDM baadaye akaamua kujipendekeza CCM,akahamia CCM,lkn bado hajapata ajira,kalamba dume.
 
Ipo siku yatakukuta na mimi mwanzo niliitetea sana hii serikali ya wanyonge hata ukisoma thread zangu za nyuma leo nimeonja joto.

w
Hahah na mimi nimeshangaa sana mkuu,maana najuaga wewe ni kada per se.
 
tena nyie mnainjifanya mna Gpa kubwa siwapend kweli.mlikua mnaiba pepa na kuweka videsa chooni.mdogo wang gpa zenu hizo kubwa kubwa mara nying mnakua mmekariri tu halalfu unapata hasira kumuona mtu ana genteleman yake ya 2.1 ana deliver ile ile.yule alisoma chuo kwa kuelewa nyie wa mashindano ya g.pa.tunawajua mlivokuwa kutwa mpo theeter kule kukamua mara vimbwetan mnazingua sana.
peleka unafiki wako kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeleta ujinga mkubwa kwenye ajira za walimu hakuna hata siku moja kikatumika kigezo cha Gpa huo ujinga unataka kuuleta wewe tu GPA itumie private tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…