Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

Kaka wewe ni mwalimu? 🤔
 
Umeleta ujinga mkubwa kwenye ajira za walimu hakuna hata siku moja kikatumika kigezo cha Gpa huo ujinga unataka kuuleta wewe tu GPA itumie private tu
Pole ndugu..sio dhambi kupata GPA kubwa.
 
S
kupata GPA kubwa sio dhambi mkuu...pole sana.
 
The way ulivyoandika umeniumiza sana mkuu, Mungu akusaidie.
Ulichoandika hapa nimekisikia mtaani kwetu.
 
Mkuu fanya kufuatilia mambo yatayoleta tija katika familia yako, hili la kushindana na serikali mitandaoni halitakusaidia, mark my word
 
Kijana happy Mimi nimehitimu chuo 2015 na sikuwa Nina kadi ya chama Tena hai lakini sijabahatika japo niliomba. So kuwa mpole labda mheshimiwa atatukumbuka, you never know
 
Ulisikia wapi wakisema Tanzania wanyonge watakwezwa ?
Wanyonge mliheshimiwa kipindi kile Kura zinahesabiwa. Siku hizi hata Kura zenu sio Mali Tena.
 
Usilalamike sana ya mungu ni mengi,huenda kesho yako ni nzuri kuliko jana.
 

Kijana Tulia, Mkono Mtupu Haulambwi.
 
Hizi ajira jaman ni bahati tu ,ex wangu alimaliza 2016 Leo ndo amekumbukwa kwahyo kuweni wavumilivu ,ingawa maisha magumu lakn kila MTU ana destiny yake hapa duniani .Nan aliwaza siku jiwe angekuwa jiwe ? Yeye mwenyew anasemaga ni mungu tu kafanya yeye awe jiwe

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Kujenga ukuta ilikuwa kigezo cha walala hoi wengine waliingia bila hicho kigezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…