GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Polepole anatafuta nini ?? Yeye hajawai kushiriki kwenye posho za wizi.??? Mbona akiwepo ndani hakuongea chochote Leo hii anataka kujifannya ni mwema sana ??, aache unafiki bali kama anaweza apindue meza kama traore
Huwezi kuhalalisha uovu kwa kuendelea kutenda uovu....tumia hiyo bongo yako vizuri kufikiri.
 
Al Capone...
 
Sasa ndio kajitoa aongeee UKWELI, angalia na tafakari anachosema, there is no future in the past.
Achana na huyo mtoto wa kijini .
Wajomba zao majini .
Wakwe za majini .
Wameoa majini na kuzaa uzao wa majini ndio wanaousumbua ulimwengu .
Hawa ni tatizo sana .

Bahati nzuri wamekutana na Moto wa Mungu .
Jasusi la Mbinguni linawapiga kiroho na Poleple anawapiga kimwili.

Mungu ameamua kuwaumbua waovu wakubwa.
Wanafanya rasilimali za nchi hii zimeumbwa na majini .
Wanaishi kwa damu za watu kwa mgongo wa kodi za watanzania .

CCM imepigwa photo copy na wahuni wanaoshirikiana na wafuga majini na watoto wao mama zao wa kijini
 
Je hio ndio kanuni iliyo mfanya rais Magufuli asifanye maridhiano na wapinzani? na ndio kitu tunataka kwa taifa hili?
 
Huyu jamaa anachosha sasa, em anyooke amalize kila kitu kwa wakati mmoja, kila siku kuandaa press inachosha mana atafanya aongee maneno mengi kwenye jambo moja ila akisema afanye HIP HOP bc amalize yote Kwenye press moja
Bado ujamuelewa ni nani hadi sasa hivi? Hata wana ccm wale OYA OYA wanamjua huyu ni mhamiaji ukimsikiliza kwenye hii clip, alikuwa anafanya kazi behind the scene, akiwa na vyeo vikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…