ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,719
Tayari Tanzania kwa matusi makubwa wanatukanwa wananchi, uchochezi mkubwa kwa vitendo vya genge lililoshika nchi, Tanzania kuna vurugu kubwa ikielekezwa upande mmoja tu. Upande wa wananchi. Wakiomba kutendewa haki, uwajibikaji.Mimi kama wewe sipo chama chochote na kwa kiasi fulani uchaguzi wa 2015 sikupiga kura ila nilikuwa naomba wapinzani washinde na haikutokea. Wala siungi mkono utekaji na moyoni naomba sana hawa CCM wajitafakari wabadilike baadhi ya viongozi hawana maadili. Kitu siungi matusi na kuchochea vurugu kuvunja amani kwa hilo siungi mkono.
Si alisema anamuamini Mungu wake wa mbinguni. Hujamsikia?Duh! am total speechless......
Najiuliza tu ,hivi mwamba kilichomuhakikishia usalama hata awepo Tanzania ni kipi? Mbona ameplay below standard sana ,anyway ngoja tuone uelekeo wa hii game itakapoishia .
Sasa swali kwani wanachama wa CCM sio wananchi? unakusudia wananchi kina nani wapinzani tu? hapo ndio unakosea, hawa CCM wana watu usipuuze wingi wao katika hili.Tayari Tanzania kwa matusi makubwa wanatukanwa wananchi, uchochezi mkubwa kwa vitendo vya genge lililoshika nchi, Tanzania kuna vurugu kubwa ikielekezwa upande mmoja tu. Upande wa wananchi. Wakiomba kutendewa haki, uwajibikaji.
Nafikiri unamaanisha hupendi wananchi wakijibu mapigo jino kwa jino kama wanavyosulibiwa kwa sasa. Hiyo siku itakuja sababu ya vitendo vya uchochezi, matusi na vurugu wanazofanyiwa wananchi kila siku.
Hicho unachokisema ni self evident. Nchi hii itakombelewa na kurudishwa kwenye mstari na Wananchi wote wa vyama vyote wanaopenda haki.Sasa swali kwani wanachama wa CCM sio wananchi? unakusudia wananchi kina nani wapinzani tu? hapo ndio unakosea, hawa CCM wana watu usipuuze wingi wao katika hili.
Tumesikia let’s focus na agenda kuu iliyo mbele Yetu. Promo ya bure kwa watekaji. Tusonge mbele.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"
Naona lile container la silaha la Abdul linafanya kazi, hawa jamaa sijui wanalipwa kiasi gani na huyu Abdul pamoja na mama yake kufanya ujahili wa aina hii.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"
Hata mimi simlaumu kurudi, ila najaribu kuwaza hakujiandaa na uvamizi, hakuwa na bunduki, kwanini asingefunga sensor mlangoni ikitokea mtu anakuja yeye ndio awe wa kwanza kupata taarifa chumbani kwake, ingekuwa rahisi kwake angeweza kuanza kuwashambulia wao kwanza, sawa alikosa mlango wa dharura, chumba cha dharura, vipi angekuwa na miwani ya kuonea gizani, baada ya kuingia angezima umeme wa nyumba nzima kisha akapambana nao kimya kimya..Mkuu kumbuka alikua anapambana na serikali ambayo ina kila aina ya resources njia ya yeye kua salama ni angebaki nje ya nchi japo pia simlaumu kwa kurudi.
Duuh,Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"
Kama yote aliyokuwa akifichua alikuwa nchini, basi amefanya mambo kitanzania au tuseme kizanzibari. Watamuua tu hawajui akina Kikwete na Rostam na sasa Samia na Makonda.
Lakini polepole alirudi lini TANZANIA?!Kama ni kweli tunaomba JW Mtuokolee mtanzania wetu mwenye maono ya maendeleo ya kichumi ya Taifa
Yaani hata mimi nimeshangaa!!! All these days nilikuwa najua yuko nje ya nchi!!! Amefanya kitu cha kipumbavu sana. Yaani nimejikuta napata hasira ghafla!!! Au alidhani yeye ni so exceptional!!!! Ameniudhi kwa kweli.Duh! am total speechless......
Najiuliza tu ,hivi mwamba kilichomuhakikishia usalama hata awepo Tanzania ni kipi? Mbona ameplay below standard sana ,anyway ngoja tuone uelekeo wa hii game itakapoishia .
It’s very sad . Ila Mungu atayajibu hayaNaona lile container la silaha la Abdul linafanya kazi, hawa jamaa sijui wanalipwa kiasi gani na huyu Abdul pamoja na mama yake kufanya ujahili wa aina hii.
Nilivyoona damu kuchukulia kwa Mdude nikajua moja kwa moja kuwa wameenda kumuua, it's the same story kwa Polepole. Mtu ambaye amevamiwa kuna namna ya kumteka bila ya kumwaga damu hata kama ana-resist kwa namna yoyote ile lakini lengo likiwa ni kwenda kumuua ndiyo huwa kunafanyika brutality iliyopitiliza na sometimes inawezekakana wakamchukua baada ya kuwa wameshamuua.
Ndipo Samia na Kikwete walipoifikisha nchi kwa sasa.