G
Mimi siamini kama huyo jamaa katekwa..amekaa serikalini anaujua uharamia wote wa serikali. Hawezi kukaa kiboya namna hyo. Huo ni mpango umesukwa ,tutaona matokeo hivi pundeHata mimi simlaumu kurudi, ila najaribu kuwaza hakujiandaa na uvamizi, hakuwa na bunduki, kwanini asingefunga sensor mlangoni ikitokea mtu anakuja yeye ndio awe wa kwanza kupata taarifa chumbani kwake, ingekuwa rahisi kwake angeweza kuanza kuwashambulia wao kwanza, sawa alikosa mlango wa dharura, chumba cha dharura, vipi angekuwa na miwani ya kuonea gizani, baada ya kuingia angezima umeme wa nyumba nzima kisha akapambana nao kimya kimya..
Kuna sehemu alibugi, hakujiandaa kijasusi zaidi
Subiri uone, mie naamini wamemchukua..Mimi siamini kama huyo jamaa katekwa..amekaa serikalini anaujua uharamia wote wa serikali. Hawezi kukaa kiboya namna hyo. Huo ni mpango umesukwa ,tutaona matokeo hivi punde
Yaani nimeshangaa sana. Unatoaje information kama hiyo????!!!!Kaka wa polepole unaposema mateka ana chip mwilini huoni kama unauza code kwa wakina mafwele? unataka waanze ku-scan mwili mzima waitoe hiyo chip au vipi?
too much information...
Basi ni mpumbavu. Alitegemea angebaki hapa Tanzania kwa kujificha kwa miaka mingap??Subiri uone, mie naamini wamemchukua..
Inasemekana kachomwa na mja kazi wake.Alikuwa mzalendo, wakikosoa wakiwa mbali mnasema wanaongea kwa sababu wapo nje ya nchi, wakija ndani ya nchi mnasema hayupo smart angekuwa mbali.
Mi naona ni shujaa, na alisema kabisa yupo nchini, hapo kikubwa hao mabilionea kuna dau wamelitangaza, hapo unakuta hata ndugu yake amekula mabilioni ili kumuuza jamaa.
Kama ndugu zake walikuwa wanafahamu alipo ina maana hi haikuwa siri tena.
Kwa press alioifanya mzee butiku jana ni wazi kasaliti msimamo wake. Yule mzee ni jau.Ukikonect dot unapata majibu kuwa wale wazee aliowamini wamemchomesha Polepole kwani usiku wa kuamkia leo kasema kuna wazee kadhaa kadhaa tuliowamini wameanza vikao baada ya uchaguzi wajifanye wanakaa vikao vya maridhiano na akasema mewakataa so kina mzee Butiku si wazalendo ni wanafiki ambao maslahi yalipuuzwa wakajifanya wanatetea taifa leo hii wamepewa bahasa nk wamemchoma Polepole so tukatae wahuni hata kina mzee Butiku wahuni tu
Lolote linawezekana. Time will tellKwa mujibu wa Dada wa taifa Mange Kimambi amesema kwamba Polepole bado yu hai ila ameumizwa sana je tumwamini dada yetu?
Ipo siku yenuWrite your reply...nani alimuona mafwele kama kamteka pole pole?