Huenda Ile maana ya malipo no hapa hapa duniani imemfikia Mr. Slow🤔.Umesahau wagombea wa chadema walivyokuwa wanatekwa na polisi ili wasirudishe form? Umesahau mlivyokuwa mnajitangaza kuwa mmpita bila kupingwa? Sasa hapo mwanachi anaaply wapi kura yake!!
Tamaa ukabila umemponza, Bora ya Mzee mzima, busara za utuuzima zinaweza mbeba na kulibeba taifa, SII kama akina slow wanatanguliza maslahi binafsi na ukabila juu.Ruto hawezi tena kushinda urais kwa njia ya masanduku ya kura, amebakisha option moja tu ya assassination ya Uhuru ili kwa huruma ya katiba achukuwe nchi pale rais akifa madarakani, ili kwamba a-postpone uchaguzi apate muda wa kujipanga na kushughulikia wapinzani wake wote. Ziara ya Uhuru Kisumu kikosi cha Ruto kilitegesha bomu kwenye ndege iliyomfuata Uhuru toka Kisumu, Raila aligundua njama akamkataza Uhuru asipande ndege hiyo, ndege ilipofika Kisumu ikakaguliwa na kukuta bomu, Uhuru akarudi Nairobi kwa ndege ya jeshi na wote waliohusika na maandalizi ya ndege hiyo ya kumfuata rais wakaingizwa kwenye mateso makali hadi wakatajana na kumtaja Ruto.
Hajasema ataondoka “voluntarily”, unajuwa maana ya hiyari?Watanzania ni watu wa ajabu sana,Huu uongo mnaowalisha watu ni kwa faida ya nani?
Polepole kasema yeye aliingia CCM voluntarily na hivyo kama kuna wahuni watamfanyia zengwe kumtoa pia hana shida ataondoka voluntarily.
Halafu hajaongea kwenye mkutano wa chama bali kwenye ofisi za LHRC
Sasa wewe tayari kwa chuki za kichagadema Mnakurupuka bila hata kula,mnaanza kumlisha maneno kisa tu aonekane mbaya.
Sote tunajua jinsi chagadema mnavyoumia na kukaa bench kwa miaka mitano mmejaa sumu mnamuona Humphrey Polepole kama mwenezi ndie alichangia kuwapiga benchi.
Lakini uhalisia ni kwamba wapiga kura tuliwapiga chini.
Na bado 2025 mtapigwa tena.
Ona shauri ya kuweka maslahi binafsi siku hizi hamtaki hata salamu za kina Mdee kisa shekeli.
CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Hamtakuja kushika uongozi wa nchi hii.
Hayo ni maneno ya kujifariji ila ukweli unabaki kuwa wananchi waliwakataa na wakamkubali JPM.Umesahau wagombea wa chadema walivyokuwa wanatekwa na polisi ili wasirudishe form? Umesahau mlivyokuwa mnajitangaza kuwa mmpita bila kupingwa? Sasa hapo mwanachi anaaply wapi kura yake!!
Magaidi tunawajua kwa matusi na ndio maana wananchi wamewaweka benchi for five good years.Hajasema ataondoka “voluntarily”, unajuwa maana ya hiyari?
Kasema hataondoka kwa hiyari yake. Wewe unasema kasema atoondoka “voluntarily”. Kiswahili hujui, wala kiingereza hujui. Kutukana mko vizuri na ndiyo sifa kuu ya ccm kupewa cheo na kuonekana una akili. Stupid wahed.
Hivi na wewe unaamini anachokifanya huyu Jamaa. Hivi uliamini kuhusu Membe na ACT, Hivi uliamini kuhusu Nyalandu. Kinachotengenezwa hapo ni kuonekane kuna mgogoro kati yake na chama halafu baadae atoke mumpokee huko kama shujaa. 2025 sio mbali.Mzee wa Mavieite , tulimuonya sana kuhusu uharamia wa awamu ya 5 lakini akatupuuza
Badala ya kujibu hoja unaongea ugoro tu. Dick head.Magaidi tunawajua kwa matusi na ndio maana wananchi wamewaweka benchi for five good years.
CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO hii SACCOS ya Mbowe ni Finito!
Kuna swali hapo[emoji849][emoji849][emoji849]
Polepole hajalalamika bali ameonyesha msimamo thabiri wa kile anachokiamini. Haya mengine ya kwenu chagadema.Maisha yanakwenda kasi haya kutoka kuvuruga wapinzani,kuamrisha watendaji wa serikali via papo kwa papo,kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 huku akiringa kwa mbwembwe,Polepole ni wa kulalamika leo?
Ahsante kwa kunisifia mvuta bangi wewe!Badala ya kujibu hoja unaongea ugoro tu. Dick head.
Nani amekusifia choko.Ahsante kwa kunisifia mvuta bangi wewe!
aliyewahamisha machinga ni awamu ya 5!!??,kupotosha kuwa deni halibebeki ni awamu ya 5!!??, Shule muhimu aise!!Mzee wa Mavieite , tulimuonya sana kuhusu uharamia wa awamu ya 5 lakini akatupuuza
Weka akiba ya maneno, Tibaijuka, A. (2020)huyu baba ndio alikuwa dalali wa kununua wapinzani kipindi yule mzee betri lake la kifuani halijazima
Umeona mkuu..... kumbe unajuwa wanakoelekea wale.Tamaa ukabila umemponza, Bora ya Mzee mzima, busara za utuuzima zinaweza mbeba na kulibeba taifa, SII kama akina slow wanatanguliza maslahi binafsi na ukabila juu.
Subiri uone kishindo Cha Chasema 2025 Mana wale watu wasiojulikana hawapo tena Mana tumepata angalau rais anayependa haki siyo yule muuajiHayo ni maneno ya kujifariji ila ukweli unabaki kuwa wananchi waliwakataa na wakamkubali JPM.
Na 2025 wale wote mliokunywa bia za kufurahia kifo cha JPM wananchi wanawasubiri.
Labda muugomee tena uchaguzi.