Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Umesahau wagombea wa chadema walivyokuwa wanatekwa na polisi ili wasirudishe form? Umesahau mlivyokuwa mnajitangaza kuwa mmpita bila kupingwa? Sasa hapo mwanachi anaaply wapi kura yake!!
Huenda Ile maana ya malipo no hapa hapa duniani imemfikia Mr. Slow🤔.
 
Ruto hawezi tena kushinda urais kwa njia ya masanduku ya kura, amebakisha option moja tu ya assassination ya Uhuru ili kwa huruma ya katiba achukuwe nchi pale rais akifa madarakani, ili kwamba a-postpone uchaguzi apate muda wa kujipanga na kushughulikia wapinzani wake wote. Ziara ya Uhuru Kisumu kikosi cha Ruto kilitegesha bomu kwenye ndege iliyomfuata Uhuru toka Kisumu, Raila aligundua njama akamkataza Uhuru asipande ndege hiyo, ndege ilipofika Kisumu ikakaguliwa na kukuta bomu, Uhuru akarudi Nairobi kwa ndege ya jeshi na wote waliohusika na maandalizi ya ndege hiyo ya kumfuata rais wakaingizwa kwenye mateso makali hadi wakatajana na kumtaja Ruto.
Tamaa ukabila umemponza, Bora ya Mzee mzima, busara za utuuzima zinaweza mbeba na kulibeba taifa, SII kama akina slow wanatanguliza maslahi binafsi na ukabila juu.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana,Huu uongo mnaowalisha watu ni kwa faida ya nani?

Polepole kasema yeye aliingia CCM voluntarily na hivyo kama kuna wahuni watamfanyia zengwe kumtoa pia hana shida ataondoka voluntarily.

Halafu hajaongea kwenye mkutano wa chama bali kwenye ofisi za LHRC

Sasa wewe tayari kwa chuki za kichagadema Mnakurupuka bila hata kula,mnaanza kumlisha maneno kisa tu aonekane mbaya.

Sote tunajua jinsi chagadema mnavyoumia na kukaa bench kwa miaka mitano mmejaa sumu mnamuona Humphrey Polepole kama mwenezi ndie alichangia kuwapiga benchi.

Lakini uhalisia ni kwamba wapiga kura tuliwapiga chini.

Na bado 2025 mtapigwa tena.

Ona shauri ya kuweka maslahi binafsi siku hizi hamtaki hata salamu za kina Mdee kisa shekeli.

CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO

Hamtakuja kushika uongozi wa nchi hii.
Hajasema ataondoka “voluntarily”, unajuwa maana ya hiyari?

Kasema hataondoka kwa hiyari yake. Wewe unasema kasema atoondoka “voluntarily”. Kiswahili hujui, wala kiingereza hujui. Kutukana mko vizuri na ndiyo sifa kuu ya ccm kupewa cheo na kuonekana una akili. Stupid wahed.
 
Umesahau wagombea wa chadema walivyokuwa wanatekwa na polisi ili wasirudishe form? Umesahau mlivyokuwa mnajitangaza kuwa mmpita bila kupingwa? Sasa hapo mwanachi anaaply wapi kura yake!!
Hayo ni maneno ya kujifariji ila ukweli unabaki kuwa wananchi waliwakataa na wakamkubali JPM.
Na 2025 wale wote mliokunywa bia za kufurahia kifo cha JPM wananchi wanawasubiri.

Labda muugomee tena uchaguzi.
 
Maisha yanakwenda kasi haya kutoka kuvuruga wapinzani,kuamrisha watendaji wa serikali via papo kwa papo,kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 huku akiringa kwa mbwembwe,Polepole ni wa kulalamika leo?
 
Hajasema ataondoka “voluntarily”, unajuwa maana ya hiyari?

Kasema hataondoka kwa hiyari yake. Wewe unasema kasema atoondoka “voluntarily”. Kiswahili hujui, wala kiingereza hujui. Kutukana mko vizuri na ndiyo sifa kuu ya ccm kupewa cheo na kuonekana una akili. Stupid wahed.
Magaidi tunawajua kwa matusi na ndio maana wananchi wamewaweka benchi for five good years.

CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO hii SACCOS ya Mbowe ni Finito!
 
Mzee wa Mavieite , tulimuonya sana kuhusu uharamia wa awamu ya 5 lakini akatupuuza
Hivi na wewe unaamini anachokifanya huyu Jamaa. Hivi uliamini kuhusu Membe na ACT, Hivi uliamini kuhusu Nyalandu. Kinachotengenezwa hapo ni kuonekane kuna mgogoro kati yake na chama halafu baadae atoke mumpokee huko kama shujaa. 2025 sio mbali.
 
Magaidi tunawajua kwa matusi na ndio maana wananchi wamewaweka benchi for five good years.

CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO hii SACCOS ya Mbowe ni Finito!
Badala ya kujibu hoja unaongea ugoro tu. Dick head.
 
Maisha yanakwenda kasi haya kutoka kuvuruga wapinzani,kuamrisha watendaji wa serikali via papo kwa papo,kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 huku akiringa kwa mbwembwe,Polepole ni wa kulalamika leo?
Polepole hajalalamika bali ameonyesha msimamo thabiri wa kile anachokiamini. Haya mengine ya kwenu chagadema.

Kwa hali halisi ya siasa za nchi hii wanachama au wanasiasa wenye misimamo kama huyu ni wachache sana.

Huyu hana unafiki wa kusifia bali kuusema ukweli anaouamini.
 
huyu baba ndio alikuwa dalali wa kununua wapinzani kipindi yule mzee betri lake la kifuani halijazima
Weka akiba ya maneno, Tibaijuka, A. (2020)
Tamaa ukabila umemponza, Bora ya Mzee mzima, busara za utuuzima zinaweza mbeba na kulibeba taifa, SII kama akina slow wanatanguliza maslahi binafsi na ukabila juu.
Umeona mkuu..... kumbe unajuwa wanakoelekea wale.
 
Hayo ni maneno ya kujifariji ila ukweli unabaki kuwa wananchi waliwakataa na wakamkubali JPM.
Na 2025 wale wote mliokunywa bia za kufurahia kifo cha JPM wananchi wanawasubiri.

Labda muugomee tena uchaguzi.
Subiri uone kishindo Cha Chasema 2025 Mana wale watu wasiojulikana hawapo tena Mana tumepata angalau rais anayependa haki siyo yule muuaji
 
Back
Top Bottom