Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hana jipya huyo, tusimpe airtime na promo yoyote, ni mviziaji wa kawaida sana. Anatafuta attention tu huku akitumika na wakubwa zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akafie mbele pumbafHi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2...
Na project hii haramu ndiyo imemfanya leo awe bilionea, hivi kweli Waitara alikuwa wa kununuliwa kwa m500?
.Mzee wa Mavieite , tulimuonya sana kuhusu uharamia wa awamu ya 5 lakini akatupuuz
Na hiyo ndio maana halisi ya Demokrasia
Kama ni kweli[emoji2][emoji2][emoji2]
Mzee wa Mavieite , tulimuonya sana kuhusu uharamia wa awamu ya 5 lakini akatupuuza
Huyu ndiye alikua anaamua nani awe mbunge, kule kwetu japo mbunge wa Chadema alikua na nafasi kubwa lakini yule wa CCM aliyeshinda kura za maoni pia aliondolewa wakatuletea mbongo fleva.
Alikuwa anachimba kaburi lake leo ndio mazishi yake
Huyu si ndiyo alisema watu wanyamaze wakati wananyoosha nchi? Mbona yeye hataki kunyamaza?Na hiyo ndio maana halisi ya Demokrasia
Kama ni kweli😃😃😃
Alipo kuwa boss wa udhalimu alitumia bakuli lake kuzuia wapinzani kuongea na waandishi leo ana kwenda kujificha kule waliko wazuia kutetea watuHi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2.
Hii ni nyepesi nyepesi.
At Calvary.
====
Taarifa kwa Vyombo vya Habari.
Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine nitazungumzia Shule ya Uongozi | The Leadership School. Mahali - Ofisi za Kituo cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC).
-Ujamaa ni Imani-
View attachment 2039936View attachment 2039937View attachment 2039938
Alipo kuwa boss wa udhalimu alitumia bakuli lake kuzuia wapinzani kuingea na waandishi leo ana kwenda kujificha kule waliko wazuia kutetea watu
Anatapa tapa Tu, kuivuruga CCM Hana ubavu huo, kashindwa Lowasa aliyekuwa na wafuasi kila kona kuanzia watumishi serikalini Hadi wanakijiji....itakuwa huyo Chakubanga hata hapo Nanjilinji hajulikani.Na muumini wa Merotocracy
Mwamba Comrade mwenye msimamo wake alie asisi chama chake na kimesajiliwa msajili wa vyama anatarajiwa kubwanga manyanga kesho kwenye mkutano wake na waandishi habari aliouitisha.
Habari zinasema H. POLEPOLE kaahidiwa donge nono la kukiiimarisha Chama na kuendelea kuikosoa serikali ya awamu ya sita Mhe. SSH kuelekea 2025 na kwamba wapo wanachama na baadhi ya viongozi wa CCM Nyuma yake.
Cha kushtusha ni tetesi za kiwango kikubwa cha pesa alichopewa na waliokua wafadhili wa CHADEMA ambao wamekata tamaa na mwenendo wa chama hicho mustakabali wa Mbowe na kesi yake inayoendelea nchini na kuchelea kurejea nchini
Kwa Lissu na Lema ambao waliaminiwa kuwa chachu ya vuguvugu la mageuzi nchini nakuiondoa CCM madarakani hivyo ukurasa mpya wa harakati za Chama kipya unaanza rasmi kesho .
Niwazi sasa kuwa ule utabiri wa Mwalimu Nyerere kwamba mpinzani wa CCM atatoka ndani ya Ccm unatimia. Je wakina nani watamsindikiza hiyokesho katika safari mpya ya Maisha ya mwanaharakati mwanazuoni huyo nje ya CCM?
Je watafanikiwa au dhambi.ya usaliti kwa kipande cha pesa itamtafuna POLEPOLE na walio nyuma yake . Nini kimemkuta Polepole ?
Ni uzalendo wake ?
Tamaa ya pesa ?
Tamaa ya uongozi ? Kiu ya kisasi