Kwa Humprey Polepole fanya kati ya haya yafuatayo ili uendelee kuheshimika
1. Rudi kwenye civil organizations as activist wa mambo ya utawala bora, na demokrasia
2. Baki kwenye CCM kama underground usiendelee kuwa vocal, ni wazi kuwa the current political regime utaisha na anaweza kuja kiongozi mwingine anamfikiria
3. Aende opposition physically and emotionally na wala asiende kwa kutega kama Lowasa, Sumaye wala Membe. Uzuri wa Humprey ana viakili kidogo
4. Aaachane na yote aende kwenye dini awe mchungaji