Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Alikuwa anachimba kaburi lake leo ndio mazishi yake
Angekuwa timamu angewachokoa Hadi wamvue uanachama Kama tu alivyoingia CCM Kwa kuletwa, angevizia wamfukuze...ingejenga heshima yake na kuonyesha yupo loyal....hivi anavyohangaika, tunamuona ni Kama mtu aliyedata baada ya maslahi yake kukatishwa.
Nani atamuamini tena mtu anayeweka mbele maslahi binafsi?
 
Hi guys. Hope mnado poa.

Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2.

Hii ni nyepesi nyepesi.

At Calvary.

====

Taarifa kwa Vyombo vya Habari.
Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine nitazungumzia Shule ya Uongozi | The Leadership School. Mahali - Ofisi za Kituo cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC).
-Ujamaa ni Imani-
View attachment 2039936View attachment 2039938
Mnamlisha maneno tu. Tutaona kama ulichokiandika, ndicho polepole anafikiria... Muda ni mwalimu mzuri sana. Ila najua tu, mnamjaza mambo asiyotaka kufanya.
 
Na akitoka kweli,
Vyama vya upinzani viwe Makini.

Rat Traps exist everywhere.......
🌍
🇹🇿
✌🏼
 
Huyu ndiye alikua anaamua nani awe mbunge, kule kwetu japo mbunge wa Chadema alikua na nafasi kubwa lakini yule wa CCM aliyeshinda kura za maoni pia aliondolewa wakatuletea mbongo fleva.
Kwa dhambi hii hata mimi huyo nilimtilia mashaka...Hayati alikuwa na dhamira ya dhati kwa nchi yake na alitaka kubadili system kabisa kuwaondoa mafisadi....wao waka pitiliza kwa ubabe huku wakiwa hawapo sawa kidhamira na mwenzao, mwenzao alikuwa anafanya ubabe ili wema upite wao walikuwa wanatumia ubabe wake kufanya vyao....Kuna vidada vingi vilipitishwa ubunge kila mmoja alikuwa anatamba yeye ndiye godfather wao...kwa hili hapa nipo mbali naye kabisa japo naamini kwa sasa atakuwa amejutia aliyoyafanya, but too late to catch the train...Uzalendo hauwi uzalendo pale unapokosa chakula cha tumbo lako...
 
CCM wanaiogopa sana hiyo, usifanye ionekane kama ni jambo la kawaida!

Hukohuko ccm ndio aliondoka Lyatonga, akaondoka Maalim Seif, akaondoka Lowasa, Sumaye, akaondoka membe.....

Na kazi ikaendelea
 
Kiongozi Mkuu hapingwi wasaidizi tunakuwa wafuasi wake kifo cha Magufuli ni matokeo ya vita isioonekana. Hio hakuna kujutia kbsa.
 
Maana halisi ya demokrasia ni uhuru wa mihimili na uchaguzi huru na wa haki.

Yaani wewe akili zako buana.... umekariri demokrasia ni kitu kimoja tu🤣🤣

Kwahiyo kujiunga au kujiondoa kwenye chama sio demokrasia😂😂😂
 
Huyu si ndiyo alisema watu wanyamaze wakati wananyoosha nchi? Mbona yeye hataki kunyamaza?

Hakusema wanyamaze milele, kumbuka hakuna kitu cha kudumu chini ya jua, kila kitu hubadilika

Kabla ya kuanzia pale aliposema wanyamaze nenda nyuma zaidi ukamjue Polepole vizuri
 
Hana jipya huyo, tusimpe airtime na promo yoyote, ni mviziaji wa kawaida sana. Anatafuta attention tu huku akitumika na wakubwa zake.
Hakika mkuu, hajiuzulu mtu hapo
Turejee ya Gwajiboy hiyo ni mipango iliyoratibiwa hukohuko juu kupotezea mizengwe ya kisiasa inayoendelea kwa Sasa.
 
Hi guys. Hope mnado poa.

Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2.

Hii ni nyepesi nyepesi.

At Calvary.

====

Taarifa kwa Vyombo vya Habari.
Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine nitazungumzia Shule ya Uongozi | The Leadership School. Mahali - Ofisi za Kituo cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC).
-Ujamaa ni Imani-
View attachment 2039936View attachment 2039938
Huyu kwangu mimi hama tofauti na machinga tu
 
si tunamjua Chakubanga.

vipi vietee zimekauka au?
kiujumla kwa sasa jamaa hamtishi hata nzi.
Inzi kwa sasa ana nguvu kuliko huyu chakubanga.

Maana alikuwa na nguvu wakati wa babake yupo kwenye kiti cha enzi.

Hujui kuwa nguvu ya mamba ipo kumayi?
 
Back
Top Bottom