Ole jaminati
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 242
- 223
Mzee wa viete vp viete imebaki story hakika usimutegemee sponsor maana ni wakupita tu hakun wa kumuelew jamaa alivimba sana enzi hz kuna watz walipotea yy aliendelea kufurahia vieteHi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2.
Hii ni nyepesi nyepesi.
At Calvary.
====
Taarifa kwa Vyombo vya Habari.
Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine nitazungumzia Shule ya Uongozi | The Leadership School. Mahali - Ofisi za Kituo cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC).
-Ujamaa ni Imani-
View attachment 2039936View attachment 2039938