Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Nadhani slow slow anatafuta namna ya kutoka kwa vile hana cha kupoteza na hana future tena kwenye siasa maana alipata vyeo kwa kuteuliwa sio kupambania.
 
Pole pole hii ni mara ya tatu nakusihi, mlio karibu naye mumkumbushe umuhimu wa kunyamaza kimya, hebu akumbuke yaliyofanywa kwa Membe kama yalikuwa sahihi, na yeye alikuwa miongoni mwa watoa maamuzi. Zama zimepita atulie tuu.
Kweli kabisa,
 
Kipindi kile cha jiwe na kile kipindi chake cha kuwapigia live watumishi wakuu wa umma tena kipindi kipo sponsored na shirika la umma
Maisha yanaenda haraka mno daah😅😅
 
Wanaokataa kuwa tawi la CCM wanavyohangaishwa?
😂😂😂😂

Natamani ungeujua ukweli wa siasa za nyakati Hizi👣👣👣👣
"...ukweli wa siasa za nyakati hizi"?
Tusivurugane akili bure hapa. Hakuna ukweli wowote,; ni vurugu machi tu kwenda mbele!
 
Kweli, ni kama vile amedata, na pia anahisi hayupo salama, depression hiyo !!
 
Haka kajamaa ni ka tapeli, ni ka seasonal politician. Wakati wa Mchakato wa Katiba kalikuwa kanisimamia itikadi za kupunguza ukiritimba wa chama kimoja, leo kinasema UJAMAA ni Imani. au hakijui ujamaa na siasa za chama kimoja ni chanda na pete?
Kukaa CCM lazima ukubali #Stockholm-Syndrome.
 
Chora 7 wacha manenooooo.
 

Amerudisha lile V 8 alilopewa?
 
Dkt.Polepole anazungumziaje kesi ya Mboye? Tuanzie hapo
 
Polepole anawawakilisha mazuzu wenzake kama wewe.
Kwanza ahame aende wapi? Wakati yeye ndie alikuwa dalali kununua wapinzani?
Ni chama gani kita mpokea mchumia tumbo? Bak huko huko Chaku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…