Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Sina hakika kama atajitoa chamani ila nadhani anaenda kuongea mambo ya msingi ya awamu ya tano tumsamehe ni Kijana tu muelewaHi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2...
Wacha kumvunjia heshima yake Polepole siyo kijana bali sema ni babuMbunge wa kuteuliwa Hamphule Polepole Leo majira ya saa tano ataongea na vyombo vya habari,
Bado haijajulikana kijana anaenda kuongea nini hivyo macho na masikio ni kwenye vyombo vya Habari...
Kashachoshwa na chama chakavu!!!!Tetesi ni kwamba anajiuzulu!
Hata kupiga vijembe na majungu nako ni kuendeleza kaziMbunge wa kuteuliwa Hamphule Polepole Leo majira ya saa tano ataongea na vyombo vya habari,
Bado haijajulikana kijana anaenda kuongea nini hivyo macho na masikio ni kwenye vyombo vya Habari...
Acha Watafunane Sisi Yetu MachoMbunge wa kuteuliwa Hamphule Polepole Leo majira ya saa tano ataongea na vyombo vya habari,
Bado haijajulikana kijana anaenda kuongea nini hivyo macho na masikio ni kwenye vyombo vya Habari...
Anarejea nyumbani Ufipa!Kashachoshwa na chama chakavu!!!!
Kashachoshwa na chama chakavu!!!!
Anarejea nyumbani Ufipa!
Kuimba kupokelezana...Huyu si ndiyo alisema watu wanyamaze wakati wananyoosha nchi? Mbona yeye hataki kunyamaza?
Naona mzee wa v-8 mirija ya ulaji imekuwa mifupi Sasa anatapatapa Kama kima mwenye njaa
Kongole mkuu [emoji1732]
Haikika tunawaombea njaa wazidi kutoana ngeuAcha Watafunane Mkuu
Hilo suraaaa sasa
Jibu zuri sanaApana Jamaa Anaelekea Chatto
Mirija ipi ya ulaji?Naona mzee wa v-8 mirija ya ulaji imekuwa mifupi Sasa anatapatapa Kama kima mwenye njaa
Nyie ni Yanga, mnataka kutafuta attention, mnahamisha goli na mikutano yenu na nyuso kavu! Kwa taarifa yenu, ‘underdog’ leo mtachezea Kichapo2!Hi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2...