Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Hi guys. Hope mnado poa.

Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2...
Sina hakika kama atajitoa chamani ila nadhani anaenda kuongea mambo ya msingi ya awamu ya tano tumsamehe ni Kijana tu muelewa
 
Huyu jamaa wanamchelewesha sana..ilikua siku nyingi sana asingepata guts za kujiachia hivi..
 
Mbunge wa kuteuliwa Hamphule Polepole Leo majira ya saa tano ataongea na vyombo vya habari,

Bado haijajulikana kijana anaenda kuongea nini hivyo macho na masikio ni kwenye vyombo vya Habari...
Wacha kumvunjia heshima yake Polepole siyo kijana bali sema ni babu
 
Mbunge wa kuteuliwa Hamphule Polepole Leo majira ya saa tano ataongea na vyombo vya habari,

Bado haijajulikana kijana anaenda kuongea nini hivyo macho na masikio ni kwenye vyombo vya Habari...
Hata kupiga vijembe na majungu nako ni kuendeleza kazi
 
Mbunge wa kuteuliwa Hamphule Polepole Leo majira ya saa tano ataongea na vyombo vya habari,

Bado haijajulikana kijana anaenda kuongea nini hivyo macho na masikio ni kwenye vyombo vya Habari...
Acha Watafunane Sisi Yetu Macho
 
Naona mzee wa v-8 mirija ya ulaji imekuwa mifupi Sasa anatapatapa Kama kima mwenye njaa

20210501_072041.jpg
 
Naona mzee wa v-8 mirija ya ulaji imekuwa mifupi Sasa anatapatapa Kama kima mwenye njaa
Mirija ipi ya ulaji?
Angekuwa na ukata angemudu kuendesha hivyo vipindi live?
Kwani bungeni mule anakaa bure?
Sema mnamchukia shauri aliwaweka benchi upinzani, wala hamna lolote!
 
Hi guys. Hope mnado poa.

Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2...
Nyie ni Yanga, mnataka kutafuta attention, mnahamisha goli na mikutano yenu na nyuso kavu! Kwa taarifa yenu, ‘underdog’ leo mtachezea Kichapo2!
 
Back
Top Bottom