Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Labda atakuwa amechanjaRais Samia Hassan Suluhu amewaapisha viongozi aliowateua jana Machi 14, 2022 akiwemo Humphrey Polepole, lakini wapo Ikulu na watu asilimia 99.9 wamevaa barakoa, isipokuwa Polepole...
Duuh!!Kitendo cha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kumteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi kimewashangaza wengi, kwa kuwa ni kama haikutegemewa hata kidogo...
"Rais ameonesha ana nia thabiti ya kutokuacha alama ya uwakilishi kwa wananchi"Polepole hakuwahi kufikiriwa kufungwa mdomo, na hakuwahi kuwa stress kwa serikali, Upendo tu wa mama ndio umempaisha na kufikia hadhi ya balozi ambayo ni kubwa kuliko Ubunge tena wa kuteuliwa, RAISI ameonyesha ana nia thabiti ya kutokuacha alama ya uwakilishi kwa wananchi,
Tumuunge mkono mama
Kotapini
Kuingia kwa nyundo kutoka kwa nyundo
Kwani LAZIMA ??!Rais Samia Hassan Suluhu amewaapisha viongozi aliowateua jana Machi 14, 2022 akiwemo Humphrey Polepole, lakini wapo Ikulu na watu asilimia 99.9 wamevaa barakoa, isipokuwa Polepole...
Una akili sana MKUU!!huyu mtu anafanya KAZI na wenye nchi sio na wenye chama!nchi ni kubwa kuliko chama!!Polepole ni samaki mbichi .... wasipomkunja mapema hatakunjika.
Haka kajamaa nafikiri kana siri fulani ambayo ndiyo imekuwa survival yake kwa sasa ... Something is not right here!!
Mkuu, hana siri wala anachojivunia! zaidi ni heshima tu wanayojaribu kumpa!Polepole ni samaki mbichi .... wasipomkunja mapema hatakunjika.
Haka kajamaa nafikiri kana siri fulani ambayo ndiyo imekuwa survival yake kwa sasa ... Something is not right here!!
Polepole aliapa kuyokuchanja ndio maana hata Barakoa havaiRais Samia Hassan Suluhu amewaapisha viongozi aliowateua jana Machi 14, 2022 akiwemo Humphrey Polepole, lakini wapo Ikulu na watu asilimia 99.9 wamevaa barakoa, isipokuwa Polepole...
Pole pole ni kichaaBaada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?
Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Kama amekubali kuapishwa lazima atachanjaWahenga Waliona Mbali sana Waliposema MDOMO umekiponza KICHWA.Wakati Tanzania imekubali kupokea CHANJO ya Corona kuna Mtu Aliaapa HATACHANJA lakini Leo Kapata TEUZI na ili aiingie kwenye hiyo NCHI lazima Awe AMECHANJA
Swali ATACHANJA au HATACHANJA?
Mdomo uliponza Kichwa
Safari Salama .
Kwa nini mkuu?
Polepole hafanyi siasa kwa kuwa ana njaa, la hasha.
Ndio sababu hayumbishwi wala hamuogopi mtu.
#kataawahuni
Hana ujanja ni njaa tupu inamsumbua snatachanjaaaa