Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Huo uoga ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hutaki kuona majibu!!
Min kumbe ndo ulivyo unarusha bomu kisha unakimbia ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ
Missles defence system ni mfumo mzuri sana wa kushambulia na kujilinda, bomu lake abaki nalo gademiiit
 
Utakutana na watu waina mbalimbali
Wabishi
Machawa
Machawi
Machizi
Mazembe
Watulivu
Wachungaji
Wafanya biashara
Wenye busara
Watoa ushauri
Wajuaji
Wachambaji
Wazinzi
Wakosoaji
Wasumbufu
Wenye fake ID
nk
Fake id ni kwa wote isipokuwa Maxence Melo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kati ya hao uliowaorodhesha wewe ni yupi? ๐Ÿ˜น
 
Missles defence system ni mfumo mzuri sana wa kushambulia na kujilinda, bomu lake abaki nalo gademiiit
Raha ya vita ujue adui yako anatumia silaha gani ili umlipue akafie mbele (Akublock yeye)

Hapo lazima ujisikie raha, sasa wewe unakimbia uwanja wa vita kwa kibomu kimoja ambacho hakijaua kimepiga nyasi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Njia ya kumuua adui ni pale akijaribu kujua unatumia njia gani
Anaingia kwenye Trap๐Ÿ˜ˆ
 
Yani umetuambia mwenyewe ni tajiri wa Almasi badae unakuja kuomba buku ya chai alafu unataka tusifukue kaburi?
Mkuu maisha sio serious kihivyo userious tuwaachie watu wa Serikali na vyombo vya Dola huku tuzogoe tu na kupeana taff
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ila wewe, waungwana wanashukuru kusaidiwa ila hawasemi wanasaidiwa nn nmecheka
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น bwana weeh nachoka sana (In makongoro Nyerere voice)

Ile siku tuliulizana na coca kwenye uzi wake hatukupata majibu Ila waungwana wanasema misaada wanapata..!! ๐Ÿ˜น
 
Ni kweli kabisa! Kwa tabia hizi za kulipuana na kufukua makaburi itafika kipindi hata kama una shida wahitaji msaada utashindwa kuleta humu jukwaani

Ni hayo tu
Humu usitegemee kuleta shida yako na ukasaidiwa kwa JF ya siku hizi. Zaidi utaambulia kejeli, matusi na dharau hata kama huna kaburi la kufukuliwa.
Kiufupi humu njoo kutoa stress na kupoteza muda ukija serious utakuwa dissapointed. Walio serious ni 10/100
 
Jf imekuwa Facebook pro max
 
Raha ya vita ujue adui yako anatumia silaha gani ili umlipue akafie mbele (Akublock yeye)

Hapo lazima ujisikie raha, sasa wewe unakimbia uwanja wa vita kwa kibomu kimoja ambacho hakijaua kimepiga nyasi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mifumo ya vita kwa sasa ni kujilinda , una launch Missles , then unaweka ballistic Missles defence system, hata huto ona kombora likidondosha skyscrapers hata moja
 
Mifumo ya vita kwa sasa ni kujilinda , una launch Missles , then unaweka ballistic Missles defence system, hata huto ona kombora likidondosha skyscrapers hata moja
Tubadili mada
Kuna wale mabinti wametoa video wanagegedana
Nauliza.ile style ya kunyoa vuzi.inaitwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ