Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Abeee!
 
2003 una anza form one!
Kumbe humu tupo na wajukuu zetu aisee,

Kijana ukiingia humu uwe unasalimia wakubwa zako.
 
Siku hizi watafanyiana aje ubabe wakati wote wamevaa suruali chini ya makalio,
Si zitaanguka hizo suruali zao? wapo busy kushikilia suruali zisianguke.
 
Kijana hebu nyoosha maneno hapa kwanza,
Yani kunyang'anywa blueband zako ndio ukawa maarufu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…