Beira Boy ule uduwanzi wake kipindi kile nilidhani alivyobadilika atakuja na ID mpya lakini kakomaa na hii hii , ni funzo kubwa sana kwa wanaokimbia IDs zao kuwa mtu ukibadilika na kuwa smart watu wanasahau maovu yako na kukuona mwenzao.Beira alikuwa fala sana π, aliyeharibu JF ni Joseverest mzee wa siti ya kwanza
Ni hivi darasa la nne nilifeli mara 3 na form two nilifeli mara 2, Mimi ni Mimi sio Walewale π€£Kumbe na wewe ndio wale wale tu,au ndio kusema kila mkubwa ana mkubwa wake?
Muwe mnasalimia wakubwa zenu humu vijana.
Naona unawatambia Gen z wenzako.Beira Boy ule uduwanzi wake kipindi kile nilidhani alivyobadilika atakuja na ID mpya lakini kakomaa na hii hii , ni funzo kubwa sana kwa wanaokimbia IDs zao kuwa mtu ukibadilika na kuwa smart watu wanasahau maovu yako na kukuona mwenzao.
Zile nyuzi za Beira kipindi kile zilikuwa zinafurahisha sana , watu wanajaa kumshambulia kuwa anatunga stori lakini mwamba alikuwa anawakomalia π
Joseverest alikuwa kama AI robot vile kila Uzi yeye wa kwanza kuComment . Hizi story joined 2022 hawazijui π
Katika watu ambao nimeshindwa kabisa niwaweke kwenye grp gani,basi ni huyo BICHWA KOMWE -Kwisha habari yako,huna marinda
Ukongwe ni pamoja na Kustahimili dhoruba zote na ukabaki na ID yako.Kukimbia I'd yako Kongwe ni udhaifu mkubwa aisee halafu unataka kushindana ma watu ambao wamedumu na I'd zaidi ya miaka 15 ? Tupewe heshima zetu kwa kustahamili shuruba zote na tumekuwa imara kwa kila hali
Mimi nilikuwa mjanja wakati Gen Z wenzangu wanashinda fesibuku Mimi nipo Jf since nina miaka 15 ningejiunga zamani ila nilikuwa na kiswaswadu mpaka kujiunga inataka email , nikaja joined baada ya miaka miwili nilivyokuwa na smart phone at 17 age.Naona unawatambia Gen z wenzako.
π
Baada ya kusoma huu uziπ€£π€£Na wewe muda wa kutuangalia sisi kua,hua tunaangalia joined ya mtu umeupata wapi?
Kwani naye si alikuwa new member kama mimiMuheshimu Mkurugenzi basi sio una mtag kwenye nyuzi bila sababu za msingi.
Kumbe joined 2026 ? π€£π€£π€£
Kuna nyingine Battle ya Engineer Vs Humble African au Da'Vinci kama sikosei ilianzishiwa Uzi wote wakakubali kuja Kubattle kwa hoja , mwishowe yule Engineer mjivuni akakimbia baada ya kushindwa kwenye hojaMiaka ya 2010/2011 kuipata JF kwenye simu ilikuwa mbinde mpaka uonane na Maxence live π€£
Yeye ni Founder bhanaKwani naye si alikuwa new member kama mimi
The protocols were observed clearlyYeye ni Founder bhana
Ilikuwa Jf ukikosa siku 2, unaweza ukaganda masaa 8 unasoma mijadala iliyokupita ..Bwashee ni ukweli usio na shaka, anguko la JF limeletwa na I'D nyingi kuanzia 2020+. Siku hizi hii forum haina addiction tena, kuna kipindi ilikuwa hukai dk 30 bila kulog in jamvini! Siku hizi naenda week mpaka mwezi au nikalog in halafu nakosa uzi wakusoma.
Kipindi hicho karibu kila jukwaa unakutana na uzi unavutia kiasi unashindwa uanze na uzi gani, kwanza wengi wetu humu jamvini ilituchukuwa muda kujiunga baada ya kuwa wasomaji kwa muda mrefu.
Waheshimiwe hawa wajomba wa miaka ya 2006 mpaka Tecno alivyokuja na T series zake, kiukweli hakuna kilaza miaka hiyo alikuwa na access ya internet achia mbali simu tu
Mkuu hata wewe unazingua kwanini kuatack members hao?Ilikuwa Jf ukikosa siku 2, unaweza ukaganda masaa 8 unasoma mijadala iliyokupita ..
Mtu kama The bold akitangazs kuwa siku flani anaachis uzi basi unakuta huo unajaa kwa comment wakisubiria uzi rasmi uje .
Mambo mengi ya kitoto na hovyo zimeletwa na IDs joined 2020 mtu kama Eli Cohen , Financial Analyst Forrest Gump etc wana haribu mpaka Majina ya members mfano "Makebo" wamepeleka kwenye maana nyingine na kuanzishia nyuzi kabisa, Vilaza kama hao Jf ya nyuma hata nguvu ya kuandika Uzi wasingepata sababu hakukuwa na chance ya kusapoti na kuvimilia ujinga wa kiasi hiko
Mtu kama The bold ilikuwa akitangaza kuwa anakuja na uzi, huo Uzi wenyewe unajaa kabla ya Uzi rasmi watu wapo live wanasubiri Uzi .Fsnyeni mpango yajirudie bwana, this jf is becoming so dull guys
JF imepoa sana, watz mbona hatuna creativity?
Watu watengeneza hata magroup bwana kuwe na kiingilio, kuwe na watu wenye maono ya pamoja, kuwe na something that makes this platform chanzo cha vitu vikubwa sasa yaani platform imekaa kiboya saan
Ni ujinga na ujinga ndo umekithiri humuMtu kama The bold ilikuwa akitangaza kuwa anakuja na uzi, huo Uzi wenyewe unajaa kabla ya Uzi rasmi watu wapo live wanasubiri Uzi .
Ukisema hivyo watu wanasema anza wewe kuleta creativity kwani ni sehemu ya Jf π
Hao members waovu sana na kwa mujibu wa VAR ya The Icebreaker ni member mmoja kama gang vile.Mkuu hata wewe unazingua kwanini kuatack members hao?
Duh ! Kumbe BICHWA KOMWE - joined 2022Au unamkuta min -me muda wote ananuka Pombe tu.
Ukija kwa BICHWA KOMWE - ukitaka kusoma comment zake,lazima kwanza uangalie kama watoto wako mbali na wewe.