Unajiona una akili sana kuliko wengine, wakati yaweza kuw kinyume chake.Mkuu nchi imejaaa wajinga kwa kiwango cha kutisga, unacho swma ni sahihi kabisa, na Zambia wenyewe wampeiga Bun kuuza mahindi nje ya nchi, hili swala lipo sana Duniani huko kwa nafaka zile ambazo hutumiwa na mass,
bashe anacheza na akili za wajinga wa nchi hii, jiulize Zambia kwa nini kazuia? Kwani ni Serikali ndio inalima mahindi kule Zambia?
Bashe ni mjanja mjanja anaye jua kucheza na akili za wajinga wa nchi hii ambao ni % kubwa sana
Yaani mnavyopenda kuwaonea wakulima!na wao pia wanahitaji pesa za kusomesha watoto wao, kufanya shughuli nyingine za kujiletea maendeleo. Acheni choyoHaya maneno unayoongea ni upumbavu mkubwa sana. Wewe kama hauna familia ya kulisha huwezi kuelewa mleta mada anaongea nini.
Ni siku si nyingi tumekuwa tukinunua nafaka kwa bei ya juu isivyo kawaida sababu ya kuendekeza kuwaachia hawa wachuuzi kununua nafaka na kuuza mipakani. Ni muda wa kuratibu huu uchuuzi wa hovyo.
Watu wanataka kuteleza tu😂😂😂😂Nenda ulime ulishe familia yako, yaani unataka mwingine alime ununue bei Chee,
Safi Sana watu wa mjini waache kudeka....mapori nchi hii ni mengiUnajiona una akili sana kuliko wengine, wakati yaweza kuw kinyume chake.
Hivi unadhani kilimo cha Zambia ni kama cha Tanzania. Waulize wanaoijua Zambia wakueleze kilimo cha Zambia.
Zambia, kilimo kinaendeshwa na makampuni tu. Mzambia ukimwambia eti mtu maskini anaweza kuwa mkulima, hawezi kukuelewa kabisa. Ndiyo maana kule Zambia, kuzunguka mashamba makubwa ya makumpuni kuna vijiji vingi. Wakazi wa vile vijiji kila siku ni kwenda kufanya kazi kwenye mashamba ya kampuni. Jioni wanapita supermarket ya hapo nyambani wanachukua chakula, wanasaini. Watakatwa kwenye mishahara yao mwisho wa mwezu.
Serikali ilichofanya Zambia ni kuyaambia makampuni yote ya kilimo kuwa itayanunua mahindi yao yote wasiende nje kutafuta soko. Sasa wewe hapa unaposema etu Serikali izuie mahindi kwenda nje, ina mkataba na kila mkulima wa kuyanunua mazao yake yote?
Mkulima anafanya biashara, wala siyo wajibu wake kuwatunza watu wa mjini.
Wakulima hawafaidiki popote na mpango wa Waziri Bashe bali wachuuzi wa mazao ndio wafaidika wakuu na Bashe anafahamu ila ni mnufaika wa mpango huo ndiyo maana kajizima dataUsiwapangie wakulima wapi wauze mazao yao, ardhi kanunua mwenyewe, mbolea kanunua mwenyewe, kaotesha na kupalilia mwenyewe, kavuna mwenyewe halafu baada ya kuvuna unataka umpangie wapi pa kuuza, hii sio akili ni mavi.
Ata ukiambiwa udadavue source of Tanzania budget both (internal and external sources) and justify it in economic distribution uwezi.Huu ujinga ulimezeshwa na nani ndugu..
Hao wazazi wako waliopo bush kwenye mashamba na Bado wananjaa inabidi wapigwe na njaa zaidi ili iwe fundishoNyie ndio Wazazi wenu kule bushi wana lala njaaa na Daily wanahitaji pesa za chakula, sasa mkiwa mjini mnajiona wajanja sana
Nenda na wewe ukawe mchuuzi ufaidikeWakulima hawafaidiki popote na mpango wa Waziri Bashe bali wachuuzi wa mazao ndio wafaidika wakuu na Bashe anafahamu ila ni mnufaika wa mpango huo ndiyo maana kajizima data
Acha upuuzi wako wewe,mwaka Jana mahindi yalikuwa kidogo na hayakuzuiwa ndio ije kuwa mwaka huu yamejaa Kila sehemu?Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na congo...hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama morogoro mahindi yameharibika mashambani kwa kukosa mvua za kutosha ...nakushauri Tena kwamba zuia kwanza mahindi yasiende nje ili tujitosheleze ...au serikali kupitia nrfa iingie kununua kabla hatujabaki na mabua !! Nakufahamu hupendi kushauliwa na mtu lakini asiesikia la mkuu huvunjika
Hivi unadhani kilimo cha Zambia ni kama cha Tanzania. Waulize wanaoijua Zambia wakueleze kilimo cha Zambia.
Zambia, kilimo kinaendeshwa na makampuni tu.
Yule Sumry tajiri Laela Sumbawanga aliuza mabasi yote akageukia kilimo cha mahindi. Magufuli alipofunga mipaka alipata hasara kubwa sana. Wanaolalamika bei za mahindi ni kubwa nao wajiunge tulime wote. Maana bado 85% ya ardhi ya Tanzania hailimwiSimtamsahau huyo mzee na udikteta wake alinitia hasara mbaya kidogo niugue presha,,,nilinunua mahindi nikaweka stoo Mara paap nikaskia linaropoka hakuna kuuza mahindi nje hata kusafirisha nje ya wilaya hakuna aisee nilipata hasara mbaya gunia nikawa nauza 36,000 wakat nilinunua 60,000 kumpata mteja nayo ikawa shughuli,,,yule mtu mungu amuweke mahali anapostahili