Nucky Thompson JF-Expert Member Joined Sep 20, 2016 Posts 2,194 Reaction score 4,805 May 1, 2025 #221 Logikos said: Kutukanwa na kunyimwa show akaamua kufuata bastola... Kufanya Show ya 12M single handedly na kuambiwa atapewa 1m pekee wakati ameingiza 12m, akaamua kutoa yote 12... Huyu Machozi sio consistent.... Click to expand... Hakijaandikwa kila kitu, ila jamaa alikuwa amegoma ukaibuka ugomvi na vitisho vingi, baadae Chief Kiumbe akaingilia ndio ikatolewa hiyo 12
Logikos said: Kutukanwa na kunyimwa show akaamua kufuata bastola... Kufanya Show ya 12M single handedly na kuambiwa atapewa 1m pekee wakati ameingiza 12m, akaamua kutoa yote 12... Huyu Machozi sio consistent.... Click to expand... Hakijaandikwa kila kitu, ila jamaa alikuwa amegoma ukaibuka ugomvi na vitisho vingi, baadae Chief Kiumbe akaingilia ndio ikatolewa hiyo 12
GWAMAKA USWEGE JF-Expert Member Joined Feb 23, 2023 Posts 2,017 Reaction score 7,406 May 2, 2025 #222 Rwebo said: No ill feelings sir. Click to expand... Peace ✌🏿✌🏿✌🏿