Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

Show za serikali ruge ndiye aliyekuwa akitoa kwa wasanii.
Sasa kuna vingine ambavyo Hussein alisema kuna wasanii ambao walikuwa wakiitwa mara kwa mara kama akina Shilole, Dogo Janja Barnaba n.k akataka naye awe miongoni mwao

Hizo ni sababu za loosers.

Diamond hajawai kuwa chini ya ruge na alikuwa adui yake mkuu

Ila bado diamond alikuwa anaitwa kwenye shows za serikali nyingi sana
 
hayo Maneno yake tu yanaonesha huyo machozi hajitambui

Yaani show yenyewe amezipata kwa kwenda kumuomba ruge amuweke.

Kwa nini yeye mwenyewe asiandike proposal ikulu kwa ajili ya kuomba awekwe kwenye show hiyo ya kumkaribisha magufuli?
We ni mgeni kwenye mambo ya entertainment ?...Mfano Jay ni mmoja wa executive producer wa Superbowl halftime show, hivyo basi who decides on who to perform on the show lies on the NFL's entertainment team, which is made up of a mix of league executives, production experts, and Roc Nation—the entertainment company founded by Jay-Z. Sasa kama wewe na Jay hamvibe hiyo show utaisikia kwenye namba.. Sasa 50 cent hawez kuwaandikia proposal NFL eti akapafomu yeye. Mkuu hii notion umeiokota wapi?
 



Mfano wa NFL ambayo ni private sector tena ya marekani. Hauwezi kuwa sawa na Tanzania tena ofisi ya Rais.

Serikali ina utaratibu wake ambao haufanani na sekta binafsi
 
😅😅
 
Marehemu alikuwa dhulmat au
 
Jamaa mbumbumbu kweli, eti msanii aandike barua Ikulu kuomba show..!
Sijui anaishi dunia gani
 
Mfano wa NFL ambayo ni private sector tena ya marekani. Hauwezi kuwa sawa na Tanzania tena ofisi ya Rais.

Serikali ina utaratibu wake ambao haufanani na sekta binafsi
Zote ni institutions ambazo zina utaratibu wake linapokuja swala la kutoa burudani huwezi tu kuwaandikia barua kama unamtumia mpenz wako love letter mkuu au nasema uwongo mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…