Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Hawa hakuzaliwa acha kulisha watu matango poli
 
Wewe ni kilaza. Ni moja Kati ya watu ambao wananifanya nijitoe Jf. And soon nitajitoa. KWA sababu I am not comfortable with what ur thoughts are. Siwezi kujifunza chochote kwako.

Nimesema HAWA, Adam alikuwa ndio baba ake na Adam alikuwa ndio mama ake.

Hapo nime ongopa kitu GANI?
Tango pori lipo wapi hapo?

I think I have to leave this forum. Imepoteza kabisa maana ya kuitwa the home of Great thinkers.

Cc buccaneer
 
Yani unajua hata kama unabishana na mtu KWA hoja toa hoja yenye mashiko BASI ILI mtu ajifunze kitu kutoka kwako.

I think I have to leave this forum. Imepoteza kabisa maana ya kuitwa the home of Great thinkers.

Cc bucca
 
Hawa hakuzaliwa acha kulisha watu matango poli
Wewe ni kilaza. Ni moja Kati ya watu ambao wananifanya nijitoe Jf. And soon nitajitoa. KWA sababu I am not comfortable with what ur thoughts are. Siwezi kujifunza chochote kwako.

Nimesema HAWA, Adam alikuwa ndio baba ake na Adam alikuwa ndio mama ake.

Hapo nime ongopa kitu GANI?

I think I have to left this forum. Imepoteza kabisa maana ya kuitwa the home of Great thinkers.

Cc buccaneer
 
Onyesha mstari kwenye biblia unaosupport hoja zako acha uongo jamiiforum hatuitaji watu waongo na wazindaki
 
Mkuu Likud una ushahidi au tunajadili hisia zako?
Huyu jamaa nyuzi zake nyingi source hisia zake ,hawezi ushahidi wa uhakika lakini nashangaa anapata mpaka Kondoo wa kumsapoti tena wakimhimiza aendelee kutoa madini.
 
Hisia zangu ni zaidi ya ushahidi unao utaka mkuu. Hisia zangu zimetengenezwa na Mungu na huo ushahidi unao utaka wewe umetengenezwa na binadamu kama wewe.
 
Onyesha mstari kwenye biblia unaosupport hoja zako acha uongo jamiiforum hatuitaji watu waongo na wazindaki
Ndo maana nilikuita kilaza KWA sababu hujui hata biblia ni nini.
 
Onyesha mstari kwenye biblia unaosupport hoja zako acha uongo jamiiforum hatuitaji watu waongo na wazindaki
Ungekuwa unajielewa ningekupa reference ya vitabu usome vikufungue akili YAKO lakini KWA sababu wewe ni mjinga mjinga mmoja hivi wacha nikupe hii random reference from this brother.
 
Attachments

  • Screenshot_20221030-215445.png
    26.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221030-215432.png
    28.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221030-215359.png
    26.6 KB · Views: 8
Hakuna kuhoji maandiko ukihoji unaambiwa unapinga neno na ukisapport unaambiwa lete ushaidi wa hicho usemacho.
Ni wachache wenye AKILI zisizo za kawaida ndio wenye uwezo na ufunuo /tasfiri ya neno,na pale inapothibitika ni kweli uitwa Watakatifu/wenye ROHO mtakatifu.
Tatizo ni kuchanganya AKILI na ROHO,wengi wa waamini hawajui kutofautisha vitu hivyo ndio maana Imani zinawachanganya sana Watu.
Dhana ya maisha baada ya kifo nayo ni kizungumkuti.
 
Kazi kweli kweli. Yani HAWA jamaa dawa yao ni kuwaacha na ujinga wao ili waendelee kupigwa huko kanisani
 
Ungekuwa unajielewa ningekupa reference ya vitabu usome vikufungue akili YAKO lakini KWA sababu wewe ni mjinga mjinga mmoja hivi wacha nikupe hii random reference from this brother.
Nataka mstari kwenye biblia na sio kutoka sehemu nyingine
 
Ndio maana nilikwambia wewe ni kilaza. Siwezi tena kujadiliana na wewe.

Kiranga ali ku ignore KWA sababu ya uswengwe wako.

Get off my dckkkk
 
Umri wa kuvunja ungo kwa jamii hizo za mashariki ya mbali zama za manabii ni miaka 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…