Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

Mama kuwa upande wa US na NATO sio mjadala sababu huko ndiko anapo patia pesa.
 
🤣🤣🤣 sasa yule mshamba angeweza kwenda nchi gani, Samia ni level nyengine hata kabla ya kuwa rais, waulize wanaomjua
Tumia akili kidogo kama unazo, kuna mtu alizurula nje miaka yote kumi alijenga hospitali ngapi na huyo mshamba ndani ya miaka minne alijenga hospitali ngapi.

Jumlisha kabisa na stand za kisasa nchi nzima.
Nimekuwekea mfano mdogotu.

Ivi kwanini mnajifanyaga kama hamnazo.
 
Hayo maandiko yameandikwa na kiumbe kama Samia, hayana madhara yoyote
Haya 👇ndiyo niliyosema kwa watu kama ninyi.

Mimi nilimpenda Magu sana mkuu,kwa hiyo tupo pamoja.He was the right President for this time.Aliipenda nchi yake upeo na watu wake kindakindaki,ila Watanzania vichwani hamnazo.

Hata hivyo Extrovert tunapaswa kuwahurumia ndugu zetu,they are enslaved,brainwashed and mind controlled.Seriously Watanzania ni so mind controlled and enslaved kiasi kwamba they do not know what is even right and wrong,ni wakusamehe bure.
 
Russia na Ukraine ni mahasimu toka kitambo. Urussi analenga kuwafuta Ukranians wote kwenye uso wa dunia.
Mimi ni binafamu yeyote anayefanya jitihada za kumfuta binadamu mwenzangu kwenye uso wa dunia anastahili kuwa adui yangu!
 
Namkubali Mama kwa mambo mengi, LAKINI HILI LA KUZURURA NCHI ZA NJE KILA KUKICHA LINANIUMIZA SANA ROHO YANGU. Sijui lini ataelewa kuwa anavyofanya si sahihi. Na hasa kwenda Marekani wakati huu.

Kikubwa alichoitiwa ni kutokubali kununua bidhaa za URUSI kwa rubel (pesa ya urusi). Hili linamtisha sana Biden- kizee. Achana na huyo Biden, njia pekee ya kupunguza ugumu wa maisha ni kununua Bidhaa za URUSI kwa RUBEL. Africa now or never!
 
Marekani hadi Leo ameikalia Syria kwa mabavu. Alisambaratisha miji kadhaa Syria ikabaki majivu. Hayo yote huyaoni! Kinyaa ni kwamba huyo muuaji ndiyo anakuwa wa kwanza kulaumu
Ohoo! Kuna baba mmoja huko Zanzibar anakuona!! Usimrushe roho! Unadai walijenga urafiki?
 
Marekani hadi Leo ameikalia Syria kwa mabavu. Alisambaratisha miji kadhaa Syria ikabaki majivu. Hayo yote huyaoni! Kinyaa ni kwamba huyo muuaji ndiyo anakuwa wa kwanza kulaumu
 

Wewe kutokwenda huko si inatosha tu mkuu?
 
Russia na Ukraine ni mahasimu toka kitambo. Urussi analenga kuwafuta Ukranians wote kwenye uso wa dunia.
Mimi ni binafamu yeyote anayefanya jitihada za kumfuta binadamu mwenzangu kwenye uso wa dunia anastahili kuwa adui yangu!

Si kweli kuwa anataka kufuta Ukraine kwenye uso wa dunia dunia. Anachotaka ni kuizuia isijiunge NATO. Kisha anataka kukomboa kikamilifu majimbo mawili yaliyojitenga yenye asili ya urusi!
 
Si kweli kuwa anataka kufuta Ukraine kwenye uso wa dunia dunia. Anachotaka ni kuizuia isijiunge NATO. Kisha anataka kukomboa kikamilifu majimbo mawili yaliyojitenga yenye asili ya urusi!
Mkuu fuatilia historia utagundua kuwa tangu mwanzo kabla hata ya Putin... Russia haijawahi kuacha choko choko na Ukraine... Russia wanaamini Ukraine ni jimbo lao. Na Kiev kwa mfano ni sehemu ya Urussi ambayo Warussi wanataka waishi Warussi peke yao!

Mizozo ilianza tangu karne ya 9 huko... Soma hapa!

Migogoro iliendelea... 1918 Ukraine ilipata uhuru lakini Russia ilifanya mapinduzi na migogoro ilianza upya... Soma hapa!

Hivyo huu mgogoro wa sasa hivi unaangaziwa kimakosa kwamba ulianza 2014 na kufumuka 2022. Mtazsmo wangu ni kwamba wengi kwa kujua au kutokujua wanaamua kufupisha kiini cha mgogoro...

Pitia hizo links... Nadhani utaelewa dhamira ya Putin na Russia kwenye huu mgogoro.
Asante Sana!!
 
Unajua kuna watu hapa JF wanadhani mambo ya mahusiano ya kimataifa yanaendeshwa kama wanavyofikiria wao. Huyu mama kwenye diplomasia ya uchumi amefaulu sana kwa mazingira ya sasa
Wanafikiri kudil na wazungu kunihitaji nguvu, bali akili na unafiki ili uende nao saw. Hakuna kiongoz wa mataifa machanga kama Tanzania ambae anaweza watunishia msuli mabeberu!!
 
Usisahau kujiuliza katika kipindi cha miaka 5 ni watanzania wangapi wasiokua na hatia walifia kwenye utawala wake bila hatia, wangapi wamepotea hadi leo hawajaonekana, wangapi walionewa bila sababu, wangapi walipoteza mali zao kibabe kwenye utawala wake. Sasa wewe nadhani ushabiki wako umekupofua ubongo kiasi kwamba upeo wako wa kufikiri unaishia pale macho yako yanapoishi kuona. Mwacheni mama afanyekazi kwa style yake ya kutanguliza ustaarabu kwanza badala ya kufokafoka na kukurupuka kama mtangulizi wake ambae mara kadhaa alikula matapishi yake
 
Siwezi kujiuliza upuuzi kama huo, alafu nikisha jiuliza wewe ndio utanipa jibu ama nitajijibu mwenyewe.

Wewe umesha jiuliza naumepata jibugani, mnapenda kulopokalopoka vitu ambavyo hataukibananishwa hapo useme unacho jua utaanza kuweweseka tu.
Huyo mtu hachafuki kipumbavu mkuu, mnakazikubwa sana kwamiaka na mbaka mtachoka.
Na chakushangaza mpo humu jf tu ndio mnao lialia 24/7 na ID zenu mbilimbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…