Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili kidogo kama unazo, kuna mtu alizurula nje miaka yote kumi alijenga hospitali ngapi na huyo mshamba ndani ya miaka minne alijenga hospitali ngapi.🤣🤣🤣 sasa yule mshamba angeweza kwenda nchi gani, Samia ni level nyengine hata kabla ya kuwa rais, waulize wanaomjua
Sawa,time will tell kama yaliandikwa na mtu na hayana madhara.Hayo maandiko yameandikwa na kiumbe kama Samia, hayana madhara yoyote
Haya 👇ndiyo niliyosema kwa watu kama ninyi.Hayo maandiko yameandikwa na kiumbe kama Samia, hayana madhara yoyote
Russia na Ukraine ni mahasimu toka kitambo. Urussi analenga kuwafuta Ukranians wote kwenye uso wa dunia.Kwa hiyo kwa Logic yako, kama Marekani aliua watu Iraq, Afghan, Japan etc etc basi Russia naye aue tu?
Hao unaosema waliuawa na marekani walitaka wenyewe na wakaonywa ingawa sikushabikia hizo vita:
== Bila ya Japan kupigwa mabomu kwenye vita ya pili ya dunia Uharibifu mkubwa ungetokea - jiulize kule Pearl Harbour kilitokea nini, Japani walifanya nini. Musolin, Hitler ndiyo walikuwa partner wao.
- Iraq - Kwanza Sadam aliteka Kuwait akasema nchi yake, akaja Bush mkubwa akamtoa kwa sababu alivamia nchi huru. Baada ya kutolewa akaanza fujo kuwa yeye ana nuclear, chemical weapons, akawa anazuia UN wasikague, kumbe masikini ilikuwa hana chochote, akapigwa utamlaumu nani hapo? Kwanza kapiga Kuwait, Kanyanyasa watu wake, halafu kaanza kutishia kuwa ana silha. Wakati Huo ndiyo imepita 9/11 au hukumbuki?
- Afghanistani Walimweka (walimhifandhi) Bin Laden Osama, aliyetuhumiwa kuwa ni Terrorist mkubwa aliyeplan ku bomu World Trade Center 9/11, sasa wewe umeumizwa kiasi hicho utafanya nini?
I am not pro USA, laikini huwezi kulinganisha hii vita na Ukraine. Ukraine ni Nchi Huru wala siyo provocative Russia anataka wawe kwenye himaya yake, ati usijiunge na EU, usiwe na Silaha fulani, usijiunge na NATO,
Namkubali Mama kwa mambo mengi, LAKINI HILI LA KUZURURA NCHI ZA NJE KILA KUKICHA LINANIUMIZA SANA ROHO YANGU. Sijui lini ataelewa kuwa anavyofanya si sahihi. Na hasa kwenda Marekani wakati huu.Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.
Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.
Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.
Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini).
Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Marekani hadi Leo ameikalia Syria kwa mabavu. Alisambaratisha miji kadhaa Syria ikabaki majivu. Hayo yote huyaoni! Kinyaa ni kwamba huyo muuaji ndiyo anakuwa wa kwanza kulaumuKwa hiyo kwa Logic yako, kama Marekani aliua watu Iraq, Afghan, Japan etc etc basi Russia naye aue tu?
Hao unaosema waliuawa na marekani walitaka wenyewe na wakaonywa ingawa sikushabikia hizo vita:
== Bila ya Japan kupigwa mabomu kwenye vita ya pili ya dunia Uharibifu mkubwa ungetokea - jiulize kule Pearl Harbour kilitokea nini, Japani walifanya nini. Musolin, Hitler ndiyo walikuwa partner wao.
- Iraq - Kwanza Sadam aliteka Kuwait akasema nchi yake, akaja Bush mkubwa akamtoa kwa sababu alivamia nchi huru. Baada ya kutolewa akaanza fujo kuwa yeye ana nuclear, chemical weapons, akawa anazuia UN wasikague, kumbe masikini ilikuwa hana chochote, akapigwa utamlaumu nani hapo? Kwanza kapiga Kuwait, Kanyanyasa watu wake, halafu kaanza kutishia kuwa ana silha. Wakati Huo ndiyo imepita 9/11 au hukumbuki?
- Afghanistani Walimweka (walimhifandhi) Bin Laden Osama, aliyetuhumiwa kuwa ni Terrorist mkubwa aliyeplan ku bomu World Trade Center 9/11, sasa wewe umeumizwa kiasi hicho utafanya nini?
I am not pro USA, laikini huwezi kulinganisha hii vita na Ukraine. Ukraine ni Nchi Huru wala siyo provocative Russia anataka wawe kwenye himaya yake, ati usijiunge na EU, usiwe na Silaha fulani, usijiunge na NATO,
Kama mko neutral si ndo mkaitangazie dunia yote ielewe?!
Alafu hii tabia ya kuwa neutral wakati mwenzako anadhulumiwa ni unafiki, woga uliopitiliza. What if wakati wako utafika na wewe uanze kudhulumiwa??
Kingine ninachoamini kwa Samia... Hapendi uonevu. Ana hofu ya Allah... Na kama mwana ccm mzalendo... Atasema na kusimamia ukweli!
Lakini si majuzi tu hapa mlifurahia Samia kukaa karibu na Biden kwenye majukwaa ya kimataifa? Lazima walijenga urafiki.
NB: Putin ni vampire!
Ujue pesa si Kila kitu!!Mama kuwa upande wa US na NATO sio mjadala sababu huko ndiko anapo patia pesa.
😀😀 temea mate chini na usirudie tena hiyo kauliyako.Ujue pesa si Kila kitu!!
Marekani hadi Leo ameikalia Syria kwa mabavu. Alisambaratisha miji kadhaa Syria ikabaki majivu. Hayo yote huyaoni! Kinyaa ni kwamba huyo muuaji ndiyo anakuwa wa kwanza kulaumuKwa hiyo kwa Logic yako, kama Marekani aliua watu Iraq, Afghan, Japan etc etc basi Russia naye aue tu?
Hao unaosema waliuawa na marekani walitaka wenyewe na wakaonywa ingawa sikushabikia hizo vita:
== Bila ya Japan kupigwa mabomu kwenye vita ya pili ya dunia Uharibifu mkubwa ungetokea - jiulize kule Pearl Harbour kilitokea nini, Japani walifanya nini. Musolin, Hitler ndiyo walikuwa partner wao.
- Iraq - Kwanza Sadam aliteka Kuwait akasema nchi yake, akaja Bush mkubwa akamtoa kwa sababu alivamia nchi huru. Baada ya kutolewa akaanza fujo kuwa yeye ana nuclear, chemical weapons, akawa anazuia UN wasikague, kumbe masikini ilikuwa hana chochote, akapigwa utamlaumu nani hapo? Kwanza kapiga Kuwait, Kanyanyasa watu wake, halafu kaanza kutishia kuwa ana silha. Wakati Huo ndiyo imepita 9/11 au hukumbuki?
- Afghanistani Walimweka (walimhifandhi) Bin Laden Osama, aliyetuhumiwa kuwa ni Terrorist mkubwa aliyeplan ku bomu World Trade Center 9/11, sasa wewe umeumizwa kiasi hicho utafanya nini?
I am not pro USA, laikini huwezi kulinganisha hii vita na Ukraine. Ukraine ni Nchi Huru wala siyo provocative Russia anataka wawe kwenye himaya yake, ati usijiunge na EU, usiwe na Silaha fulani, usijiunge na NATO,
Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.
Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.
Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.
Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini).
Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Russia na Ukraine ni mahasimu toka kitambo. Urussi analenga kuwafuta Ukranians wote kwenye uso wa dunia.
Mimi ni binafamu yeyote anayefanya jitihada za kumfuta binadamu mwenzangu kwenye uso wa dunia anastahili kuwa adui yangu!
Naona hujanielewa!Wewe kutokwenda huko si inatosha tu mkuu?
Mkuu fuatilia historia utagundua kuwa tangu mwanzo kabla hata ya Putin... Russia haijawahi kuacha choko choko na Ukraine... Russia wanaamini Ukraine ni jimbo lao. Na Kiev kwa mfano ni sehemu ya Urussi ambayo Warussi wanataka waishi Warussi peke yao!Si kweli kuwa anataka kufuta Ukraine kwenye uso wa dunia dunia. Anachotaka ni kuizuia isijiunge NATO. Kisha anataka kukomboa kikamilifu majimbo mawili yaliyojitenga yenye asili ya urusi!
Wanafikiri kudil na wazungu kunihitaji nguvu, bali akili na unafiki ili uende nao saw. Hakuna kiongoz wa mataifa machanga kama Tanzania ambae anaweza watunishia msuli mabeberu!!Unajua kuna watu hapa JF wanadhani mambo ya mahusiano ya kimataifa yanaendeshwa kama wanavyofikiria wao. Huyu mama kwenye diplomasia ya uchumi amefaulu sana kwa mazingira ya sasa
Usisahau kujiuliza katika kipindi cha miaka 5 ni watanzania wangapi wasiokua na hatia walifia kwenye utawala wake bila hatia, wangapi wamepotea hadi leo hawajaonekana, wangapi walionewa bila sababu, wangapi walipoteza mali zao kibabe kwenye utawala wake. Sasa wewe nadhani ushabiki wako umekupofua ubongo kiasi kwamba upeo wako wa kufikiri unaishia pale macho yako yanapoishi kuona. Mwacheni mama afanyekazi kwa style yake ya kutanguliza ustaarabu kwanza badala ya kufokafoka na kukurupuka kama mtangulizi wake ambae mara kadhaa alikula matapishi yakeTumia akili kidogo kama unazo, kuna mtu alizurula nje miaka yote kumi alijenga hospitali ngapi na huyo mshamba ndani ya miaka minne alijenga hospitali ngapi.
Jumlisha kabisa na stand za kisasa nchi nzima.
Nimekuwekea mfano mdogotu.
Ivi kwanini mnajifanyaga kama hamnazo.
Siwezi kujiuliza upuuzi kama huo, alafu nikisha jiuliza wewe ndio utanipa jibu ama nitajijibu mwenyewe.Usisahau kujiuliza katika kipindi cha miaka 5 ni watanzania wangapi wasiokua na hatia walifia kwenye utawala wake bila hatia, wangapi wamepotea hadi leo hawajaonekana, wangapi walionewa bila sababu, wangapi walipoteza mali zao kibabe kwenye utawala wake. Sasa wewe nadhani ushabiki wako umekupofua ubongo kiasi kwamba upeo wako wa kufikiri unaishia pale macho yako yanapoishi kuona. Mwacheni mama afanyekazi kwa style yake ya kutanguliza ustaarabu kwanza badala ya kufokafoka na kukurupuka kama mtangulizi wake ambae mara kadhaa alikula matapishi yake