Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100.

Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii hivyo Raisi ajitahidi kila wiki au kila baada ya wiki kadhaa awe anawatengenezea Mada ya kujadili.

Hivyo hizi teuzi asilimia 80 ni za kutengenezea Wabongo Mada za kujadili, kupitia Vijiwe vya Kahawa, Tangawizi, Daladala, Sokoni. Barabarani ,Whatsapp na hata mitandao mengine ya jamii.

Hakuna siku wabongo watadiscus mambo serious kwa ajili ya Taifa lao, hatima ya watoto wao kwa siku zijazo, hii haitakaa itokeee Samia akiwa Madarakani make ni mwerrvu sana kwenye kucheza na akili za Wajinga kupitia kuwapa Mada za kujadili.

Nisha waambia Teuxi zote anazo fanya ni hadaa tupu, ni kucheza na akili zenu, na niwaambie hizi teuzi hazijaisha na kabla ya huu mwezi kuisha kuna teuzi zingine na pia mwezi ujao zipo teuzi na tenguzu tena.

Hii ni triend ambayo haina mwisho wake,
 
Nachotaka kujua je hao watenguliwa ilinkutengeneza agenda mjadala huwa wanashirikishwa sababu za kutenguliwa kwao? Kama wanakubaliana, je Kuna fidia yoyote wanapewa?
 
Teuzi na tenguzi sio jambo jipya la kushangaza la kuanzishiwa uzi. Umezungumzia vitu kwa ujumla sana ungeenda moja kwa moja ukasema fulani atateuliwa au atangeuliwa tarehe fulani uzi wako ungekuwa na mashiko
 
Ni mama kwahiyo anajua namna ya kuwalea watoto wake... naungana na wewe mkuu... maza ataenda kushinda kwa kishindo sana coz she know how to play this game, and trust me hadi kufikia 2025 98% ya Watanzania hawatakua na wasiwasi wowote juu ya uongozi wake.

Hizi kete the way zinavyosukumwa ukikaa katika hali ya utulivu wa akili, utaishia kutabasamu tu.
 
Kwa hiyo huku kitaa wameshtuka na teuzi za kibudu na mwenzie,
Binafsi naona amefanikiwa kwa wenye akili fupi tu and not otherwise
 
Hamna Propaganda hapo mkuu..

Huwezi kumtoa waziri kisa tu unataka kufanya propaganda..
 
UNAMSINGIZIA VITU VYA AJABU.
 
Umesha wahi fikiria athari z hizi tengua tengua kwanzia kiuchumi na kijamii(mahusiano) inawezekana hicho ulichosema lakini garama hizo anazobeba ni mwananchi pia nikulize je? Hao walio tenguliwa wana jengwa vp kisaikolojia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…