BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100.
Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii hivyo Raisi ajitahidi kila wiki au kila baada ya wiki kadhaa awe anawatengenezea Mada ya kujadili.
Hivyo hizi teuzi asilimia 80 ni za kutengenezea Wabongo Mada za kujadili, kupitia Vijiwe vya Kahawa, Tangawizi, Daladala, Sokoni. Barabarani ,Whatsapp na hata mitandao mengine ya jamii.
Hakuna siku wabongo watadiscus mambo serious kwa ajili ya Taifa lao, hatima ya watoto wao kwa siku zijazo, hii haitakaa itokeee Samia akiwa Madarakani make ni mwerrvu sana kwenye kucheza na akili za Wajinga kupitia kuwapa Mada za kujadili.
Nisha waambia Teuxi zote anazo fanya ni hadaa tupu, ni kucheza na akili zenu, na niwaambie hizi teuzi hazijaisha na kabla ya huu mwezi kuisha kuna teuzi zingine na pia mwezi ujao zipo teuzi na tenguzu tena.
Hii ni triend ambayo haina mwisho wake,