Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

Mwanzo wa mwisho wa codes unakaribia...kifuatacho ni real Names na real Events.
 
Kila mara naingia humu labda nitakuta Breaking News nyekundu
Yaani hata "kijimkaa" chenye moto unaofifia bado hukioni mkuu, wewe unataka "mkaa wenye moto mwekundu" tu basi?
Subiri basi, hicho "kijimkaa" kinachofifia kitakaPo chochewa karibuni, utaona siyo "Breaking Nyekundu" tu; bali Tanzania yenye tabasamu.
 
Leo zimeibuka threads nyingi sana, bahati mbaya sikuwa hewani so I don't know, what's cutting guys?
 
Yaani hadi ifike Oktoba, tutakuwa tumesikia na kuona mengi.
Mungu ibariki Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Raha na ladha ya utumbo unuke manure sio unukie shurubati
 
Boys II Men - end the road => This is song ๐ŸŽต ...
 
Mkurugenzi, lugha ngumu sana hii.... Tafadhali legeza kidogo...๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ