Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Kumfanya huyo eti kiongozi wa dini ni kama kumkashfu Mungu tu, huyu hakua mtume wa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi, huyu alikua kiongozi wa shetani. Ni shetani pekee yake ndio anaweza kumruhusu mtumishi wake kupiga show na mtoto wa miaka 8-10. Ndio maana hata leo wanataka eti hili jambo liingizwe kwenye katiba, tuwaonee huruma mabinti zetu.
 
Duh! Balaa zito.
 

Attachments

  • 6A974749-05B8-452C-AE9A-DB7FFEA193C5.jpeg
    6A974749-05B8-452C-AE9A-DB7FFEA193C5.jpeg
    50.1 KB · Views: 2
Kwahiyo mwanamke mi mnyama kama ng'ombe na mbuzi?
Nisijehangaika kumjibu mgonjwa wa Akili.
Anyway hebu ninyamaze maana unaonekana una upeo mkubwa Sana wa Ufahamu mkuu.
 
Na kuoa/kubaka kitoto cha miaka 6 nayo alifanya mtume gani zaidi ya Mudy?
Post inaongelea kingine wewe unaniuliza kingine..
Madhara ya kula Milo Bila kipimo maalamu.
Mudy hakuoa mtoto wa miaka sita Bali aliposa yaani kupeleka alama yakuwa alikuwa nitaoa Mimi ..
Akaja kuoa baada ya mwanamke huyo kuanze menstral kumbuka wenzetu huanza hedhi na miaka Tisa so baada ya kuanza hedhi ndo akamuoa
Pamoja na hivo hakumuingilia mpaka alipofikisha historia inasema either 13-15 yrs
Zingatia neno historia ukweli wake wanajua wahusika..
Sasa wewe maada inajadili mengine wewe unazungumzia kingine.
 
Mtume ndo alionesha mfano zaidi. Akaenda oa kitoto cha miaka 6
Umejibiwa vzr kielmu unataka unavyotaka wewe utamaliza uzushi wote hakuna sehemu Mtume Muhammad (S.A.W )alioa mtoto wa miaka 6 wagalatia mna hulka kama za huyo Mshia uliyempost
Kivipi usimhoji Papa au wachungaji zenu huko wanaofungisha ndoa za jinsia moja
 
Quran na Hadith za mtumie ni vitu constant,havibadiliki kulingana na mazingira,na jamaa katumia neno Mungu humo kuonesha ni msimamo wa aina Gani,nadhani Yuko sahihi,tofauti na hapo atakua kama nabii Tito huku bongo.
Hizo mbuzi zimeumbwa kama binadamu Ili zisitutishe ... Acha kabisa ...kumbe tunalala na mifarasi na mipundamilia bila kujua ....ilaaaa huyu Allah huyu ... Kwa Nini lakini
 
Wewe ni mgeni hapa jamiiforum!
Hawa mbona tumeshawazoea na Wala hakunaga shida.
Mtu anasema eti waislam wanaoa wake wengi hii huonesha wanawake hawana thamani..
Wakati huo huo yeye ni msukuma ambapo jamii yake alipotoka Kuna mafungu ya familia yaani familia ya baba mmoja Ina mafungu mafungu ..
Ibrahim baba wa Imani alikuwa na wake wangapi!
Yakuub/Yakobo alikuwa na watoto walitokana na wake wangapi!
Mfalme Daudi alikuwa na wake wangapi!
Sulayman alikuwa na wake wangapi!
Je mababu zetu walikuwa wanaoa wake wangapi kabla ya uislam na ukristo!
Kwamba bibilia ndo imekuja wafundisha watu waoe mke mmoja?
Wanyama tu hawawezi kuwa na jike mmoja Sasa wewe una akili unalimitiwa na maandiko ya kikundi Cha watu waliokaa wakaandika eti uoe mwanamke mmoja ..
Umemaliza boss 🙏🙏
 
Hata kwetu wakristo kuna wakina Kiboko ya wachawi na mzee wa upako wanao ongea vitu vya ajabu na kufanya vitu vya ajabu tofauti na Ukristo halisi, sio sahihi kuhukumu imani kwa maneno ya mtu mmoja.
Ingekuwa sawa kama hayo yanatoka kwenye vitabu vya dini ya kiislam.
Nimeipenda hii
 
Picha Kama hii akiweka muislam anakula Ban
Uzuri mtandao unaruhusu kuwakejeli wengine mkikejeliwa nyie Wala hakuna shida.
Na hii huonesha kiwango Cha akili za watu humu jamvini .
hiyo ni mtindo wa mavazi kwa nchi za kiarabu, siyo kila anayevaa hivyo ni muislamu
 
Huwa inashangaza sana watu ambao wanajulikana kuwa wana think big,kuona clip na subtittle chini tayar wapo kuhukumu kitu ambacho hata akili ya kawaida haikiafiki

Mnaongea ushabiki tu lkn hata katika nafsi zenu mnajua kabisa hakuna kitu kama hicho

Mna shida gani?
 
Muktadha, muktadha, muktadha

Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?

Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
Sasa kama ni waislam wa irani ninyi huku huwa mnawashwa na kitu gani wakiadhibiwa kwa kureta ujinga??..........mnajitenga nao na mnajiunga nao kwa ujinga wenu wa mahaba ya kishamba
 
UPUUZI MTUPU, sisi hatufuati mtu kasema nini, tunafata QURAN inasema nini finish. Huku kwetu Waislamu sio kama kule VATICAN ambapo papa anaweza kuamka na kuamua kutunga sheria yake akabadilisha Injili anavyotaka.

Huyu ni mpuuzi mmoja wapo anatumika tu hapo na MAKAFIRI hakuna Muislamu atamfata wala kumsikiliza..Waislamu sio makondoo.. SHWAINI
Sawa.lakini mbona kama umepaniki?
 
Hivi kuna mwanaume mwenye mke mmoja, tuwe wakweli mkuu?
Here i am.
MAisha yangu nimechepuka mara 8 tu katika miaka 15 ya ndoa.
Sijawah kuwa na uhusiano hata hizo mara 8 nilinunua.
Nikaonaga ujinga tu nikaacha na huu ni mwaka wa pil sasa nimekaa njia kuu
 
Una mtoto wa kike? Akifika miaka hiyo nataka nije mwoa. Hili jamaa lilikuwa bakaji,sherati na linanajisi vitoto. We huoni haya kumwingilia mtoto wa miaka 9? Na una umri wa yeye hata kukuita babu? Unavuaje nguo kwake? Hata ng'ombe au mbwa hawafanyi hivyo.

1. Wacha kukurupuka

2. Ni kwamba hakuna sehemu imewekwa sheria kwamba ni lazima uoe msichana wa miaka 9 ishu ni different era's different standards kwa zama hizo ilikuwa kawaida sana kuoa msichana wa umri huo. jews wao wana hadi sheria kwenye mishnah kwamba umri wa kuoa ni msichana akiwa na miaka mitatu (3) ila leo ukiwaambia kama wapo tayati kuoa msichana wa miaka mi 3 watakuruka mita 100 and why aren't tye world talking about this ???????? the answer is DOUBLE STANDARDS Anyways jisomee hapa .



Mishnah niddah 5:4


בַּת שָׁלשׁ שָׁנִים וְיוֹם אֶחָד, מִתְקַדֶּשֶׁת בְּבִיאָה. וְאִם בָּא עָלֶיהָ יָבָם, קְנָאָהּ. וְחַיָּבִין עָלֶיהָ מִשּׁוּם אֵשֶׁת אִישׁ, וּמְטַמְּאָה אֶת בּוֹעֲלָהּ לְטַמֵּא מִשְׁכָּב תַּחְתּוֹן כָּעֶלְיוֹן. נִשֵּׂאת לְכֹהֵן, תֹּאכַל בַּתְּרוּמָה. בָּא עָלֶיהָ אַחַד מִן הַפְּסוּלִים, פְּסָלָהּ מִן הַכְּהֻנָּה. בָּא עָלֶיהָ אַחַד מִכָּל הָעֲרָיוֹת הָאֲמוּרוֹת בַּתּוֹרָה, מוּמָתִין עַל יָדָהּ, וְהִיא פְטוּרָה. פָּחוֹת מִכָּן, כְּנוֹתֵן אֶצְבַּע בָּעָיִן:

A girl who is three years and one day old, whose father arranged her betrothal, is betrothed through intercourse, as the halakhic status of intercourse with her is that of intercourse in all halakhic senses. And in a case where the childless husband of a girl three years and one day old dies, if his brother the yavam engages in intercourse with her, he acquires her as his wife; and if she is married, a man other than her husband is liable for engaging in intercourse with her due to violation of the prohibition against intercourse with a married woman. And if she is impure due to menstruation, she imparts impurity to one who engages in intercourse with her who then renders impure all the layers of bedding beneath him, rendering them impure like the upper bedding covering a zav, in the sense that it assumes first-degree ritual impurity and does not become a primary source of ritual impurity, and it renders impure food and drink, but it does not render impure people and vessels. If she marries a priest, she may partake of teruma, like any other wife of a priest; if she is unmarried and one of the men who are unfit for the priesthood, e.g., a mamzer or ḥalal, engaged in intercourse with her, he disqualifies her from marrying into the priesthood, and if she is the daughter of a priest, she is disqualified from partaking of teruma. Finally, if one of all those with whom relations are forbidden, as stated in the Torah, e.g., her father or her husband’s father, engaged in intercourse with her, they are executed by the court for engaging in intercourse with her, and she is exempt, because she is a minor. If the girl is less than that age, younger than three years and one day, the status of intercourse with her is not that of intercourse in all halakhic senses; rather, it is like placing a finger into the eye. Just as in that case, the eye constricts, sheds tears, and then returns to its original state, so too, in a girl younger than three years and one day old, the hymen returns to its original state.

3. Kwa sasa standard zimebadilika throught the countries range from 12 to 18 and still kuna watu bado wanapambania ipande kutoka 12 mpaka 18 nitaweka baadhi ya nchi hapa 1. Angola =12 years 2. Philipenes=12 years 3. Paraguay and ecuador =14 to 21 4. Tanzania= 15
5. Napoleonic french =10 ikapanda to 11 and the list goes on.

4. Kuhusu kumuoa binti yangu wa kike wa miaka 9 ni ngumu kwa sababu hizi hapa

1. Simama na point namba 2 na 3 hapo juu
2. Hakuna ndoa kati ya mwanamke muislamu na mwanaume aisiye muislamu.
 
Back
Top Bottom