Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa na akili kama za Lucas, mpirani watu wanafata burudani na wanaburudikaMbona kwenye mipira watu wanajaa hadi wanauwana nao tuseme ni wajinga?
Kwenda uwanjani kutazama mpira au zuchu pana tofauti gani na hao,maana hata wao uwaona waendao uwanjani ni wajinga.
Atamwita Mungu njoo uniokoeKiburi cha uzima hiko kinamdanganya.
Subiri apate stroke uone atakavyojiliza.
Hata huko wanafata uponyajiWewe utakuwa na akili kama za Lucas, mpirani watu wanafata burudani na wanaburudika
Strategic planning Jamaa nilikuta kamwaga wasambaza vipeperushi kwenye masoko yote ya DarIla huyu mwamba ana mvuto wa hali ya juu nyomi lote hilo, nadhani watumishi wenzake watakuwa wanamuonea wivu sana.
Na wasipojaza utasikia derby ya safari hii imedororaKwenye derby ya kariakoo hutasikia wakilalamika watu kujaa.
Ngoja yamfike atamtafuta mwenyewe MunguAtamwita Mungu njoo uniokoe
Watu wangapi wana stroke na wamekufa na stroke licha ya kusali na kumwamini sana huyo Mungu?Kiburi cha uzima hiko kinamdanganya.
Subiri apate stroke uone atakavyojiliza.
Ujinga bado unamsumbuaMtumishi unanichanganya, mbona mkali hivyo?!
Anyway, it's son of a bitch, not a beach.
Kuna faraja kuamini katika mungu mkuu wengine ni wagojwa labda wengine wemekata tamaa sababu za kutendwa kuachwa wengine hawaoleki kila mtu ana shida zake hapo tatizo nyie mmeamini katika pesa zaidi...Sio kukata tamaa,ni kielelezo Cha Nchi ilivyojaa wajinga na punguani.Yaani hapo hawataki kutumia akili,maarifa na Nguvu kutafuta maisha ila wanaamini Mafuta ya miujiza yatawapa maisha 🤣🤣🤣🤣🤣.
Nchi iliyojaa mapumbavu ya hivi haiwezi kuendelea.
Si kweliUpo sahihi sana.
Japan, China, Korea hawana dini na wapo mbali sana kimaendeleo, Kisayansi na Kiteknolojia
Sawa bwana munguWatu wangapi wana stroke na wamekufa na stroke licha ya kusali na kumwamini sana huyo Mungu?
Maelfu ya watu wamekufa na stroke licha ya kumuomba sana Mungu huyo awajalie afya tele na uzima.
Huu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Matatizo mengi husababishwa na Ujinga mkuu.Watu wana matatizo ya kimwili na kiroho ambayo wamehangaika kwingi bila mafanikio.
Wewe ukiona watu wamejaa baa, kwa sangoma, viwanja vya mpira au matamasha ya wasanii mnaona sawa, ila wakienda kutafuta msaada wa kutatuliwa shida zao kwingine mnaona nongwa.
Watu wana shida, acha watafute ufumbuzi kwa njia rafiki. Wakufanikiwa atafanikiwa ambaye muda wake bado ataendelea kuwa na subra
Mungu huyo anashindwa na ameshindwa kuwaokoa maelfu ya watoto wasio na hatia yeyote ile wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa, mafuriko na matatizo mengine, Halafu ndio aje aniokoe mimi!!!Atamwita Mungu njoo uniokoe
Kwa hiyo huko dunia ya kwanza nako kuna wajinga wengi kama sisi?.Matatizo mengi husababishwa na Ujinga mkuu.
Pole, ila hayo hayadhihirishi kuwa Mungu muweza wa yote hayupo.Mungu huyo anashindwa na ameshindwa kuwaokoa maelfu ya watoto wasio na hatia yeyote ile wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa, mafuriko na matatizo mengine, Halafu ndio aje aniokoe mimi!!!
Huyo Mungu hawezi Kuokoa kitu chochote kile kwa vile Hayupo na hajawahi kuwepo kuokoa chochote kile.View attachment 3034846View attachment 3034847