Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Ila huyu mwamba ana mvuto wa hali ya juu nyomi lote hilo, nadhani watumishi wenzake watakuwa wanamuonea wivu sana.
 
Mbona kwenye mipira watu wanajaa hadi wanauwana nao tuseme ni wajinga?
Kwenda uwanjani kutazama mpira au zuchu pana tofauti gani na hao,maana hata wao uwaona waendao uwanjani ni wajinga.
Wewe utakuwa na akili kama za Lucas, mpirani watu wanafata burudani na wanaburudika
 
Ila huyu mwamba ana mvuto wa hali ya juu nyomi lote hilo, nadhani watumishi wenzake watakuwa wanamuonea wivu sana.
Strategic planning Jamaa nilikuta kamwaga wasambaza vipeperushi kwenye masoko yote ya Dar
 
Kiburi cha uzima hiko kinamdanganya.
Subiri apate stroke uone atakavyojiliza.
Watu wangapi wana stroke na wamekufa na stroke licha ya kusali na kumwamini sana huyo Mungu?

Maelfu ya watu wamekufa na stroke licha ya kumuomba sana Mungu huyo awajalie afya tele na uzima.

Huu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Sio kukata tamaa,ni kielelezo Cha Nchi ilivyojaa wajinga na punguani.Yaani hapo hawataki kutumia akili,maarifa na Nguvu kutafuta maisha ila wanaamini Mafuta ya miujiza yatawapa maisha 🤣🤣🤣🤣🤣.

Nchi iliyojaa mapumbavu ya hivi haiwezi kuendelea.
Kuna faraja kuamini katika mungu mkuu wengine ni wagojwa labda wengine wemekata tamaa sababu za kutendwa kuachwa wengine hawaoleki kila mtu ana shida zake hapo tatizo nyie mmeamini katika pesa zaidi...
 
Watu wangapi wana stroke na wamekufa na stroke licha ya kusali na kumwamini sana huyo Mungu?

Maelfu ya watu wamekufa na stroke licha ya kumuomba sana Mungu huyo awajalie afya tele na uzima.

Huu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Sawa bwana mungu
 
Watu wana matatizo ya kimwili na kiroho ambayo wamehangaika kwingi bila mafanikio.

Wewe ukiona watu wamejaa baa, kwa sangoma, viwanja vya mpira au matamasha ya wasanii mnaona sawa, ila wakienda kutafuta msaada wa kutatuliwa shida zao kwingine mnaona nongwa.

Watu wana shida, acha watafute ufumbuzi kwa njia rafiki. Wakufanikiwa atafanikiwa ambaye muda wake bado ataendelea kuwa na subra
Matatizo mengi husababishwa na Ujinga mkuu.
 
Kuna maswala some time unaweza ukawa unayachukulia poa kwa sababu hayajakukuta jamani kuna watu wana shida.Kuna hata ww unaweza kua unamjua ni mpambanji kweli lakini mnaisha yake ni shida hatari..kuna watu wanaumwa nyie wamepoteza mamilion kusaka tiva lakini hola usione watu wanatembea mabarabarani humu ukaona wote wako sawa.Kuna watu nyie wanapigika na maisha haya sasa wameamua kutokukata tamaa waende kupata msaada kwa Mungu tunawacheka kwa sababu sisi hayajatukuta 🥴🥴.Kama mwaposa ni tapeli ni nani atajua yy ila km Mungu anawaponya watu kwa sababu wamerudi kwake hilo ndo bora zaidi.
 
Ni mpumbvu peke yake ndie ambae haamini Katika uwepo wa Mungu au Shetani
Ni Ujinga kutegemea muujiza ubadilishe kipato chako.
 
Atamwita Mungu njoo uniokoe
Mungu huyo anashindwa na ameshindwa kuwaokoa maelfu ya watoto wasio na hatia yeyote ile wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa, mafuriko na matatizo mengine, Halafu ndio aje aniokoe mimi!!!

Huyo Mungu hawezi Kuokoa kitu chochote kile kwa vile Hayupo na hajawahi kuwepo kuokoa chochote kile.
IMG-20240308-WA0000.jpg
IMG-20240115-WA0001.jpg
 
Matatizo mengi husababishwa na Ujinga mkuu.
Kwa hiyo huko dunia ya kwanza nako kuna wajinga wengi kama sisi?.

Tumeona wahubiri kadhaa kama Billy Graham wakijaza maelfu ya watu kwenye makongamano yao wanaoenda ili kupata ufumbuzi wa shida zao
 
Mungu huyo anashindwa na ameshindwa kuwaokoa maelfu ya watoto wasio na hatia yeyote ile wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa, mafuriko na matatizo mengine, Halafu ndio aje aniokoe mimi!!!

Huyo Mungu hawezi Kuokoa kitu chochote kile kwa vile Hayupo na hajawahi kuwepo kuokoa chochote kile.View attachment 3034846View attachment 3034847
Pole, ila hayo hayadhihirishi kuwa Mungu muweza wa yote hayupo.

Naomba unisaidie, hivi hii galaxy ilitokeaje?
 
Back
Top Bottom