Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao.
1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police.
2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja.
3. Police haraka wametoa tamko na kusema wanafuatilia.
4. Mpaka sasa Zitto ni kama anatoa tu kauli za umakini flani ambazo zina maswali kadhaa
Huu utekaji ni kama drama au kuna sarakasi zinapigwa hapa. Sioni kama nu utekaji wa Mzee Kibao au ule wa Soka. Abdul Nondo yupo salama salimini atarudi akiwa salama salimini na watekaji hawa watafahamika haraka sana ni wapinzani wa ACT.
Hizi ni sarakasi kabisa mtu anabinuka samasoti lakini tu akiwa amevaa taulo. Nimekaa hapa. Abdul Nondo ni mzima atapatikana bila shida na waliomteka watafahamika tu. ITAJULIKANA.