Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

Kama nime waelewa wewe na mleta mada:
Kwa mara ya kwanza kabisa CHADEMA wana shirikiana na jeshi la polisi kufanikisha utekaji wa kiongozi wa ACT-Wazalendo!
Haya sio maneno yako Mr. Kalamu ?
Kama nime waelewa wewe na mleta mada:
Kwa mara ya kwanza kabisa CHADEMA wana shirikiana na jeshi la polisi kufanikisha utekaji wa kiongozi wa ACT-Wazalendo!

Hivi kweli mnazo akili timamu nyie?
Au sio wewe uliosema haya?
 
Kwa hiyo maana ya hayo maneno ni kuwa, mimi nimesema "CHADEMA nwanashirikiana na CCM?"? Ndivyo ulivyo elewa wewe?
Sasa kama hukumaanisha hivyo, ni wapi mimi na mleta mada tumesema tunaamini kwamba cdm na ccm wana shirikiana?
 
nijibu hoja ipi wakati maneno yapo hapo yakijieleza yenyewe!
Ufinyu wa uelewa wako ndiyo unataka liwe jambo la kupotezea muda hapa?
Uelewa wako ndyo ulishindwa kuelewa post yangu ya kwanza na ukadakia kwa kusema mimi naamini kuhusu ccm na cdm, umejichanganyea sasa unatafuta pa kutokea.
 
Uelewa wako ndyo ulishindwa kuelewa post yangu ya kwanza na ukadakia kwa kusema mimi naamini kuhusu ccm na cdm, umejichanganyea sasa unatafuta pa kutokea.
Sasa umegeukia kwingine siyo. Hilo la mwanzo tumemalizana nalo?
 
Hata kwenye ngazi hiyo ya "uchizi" inaonekana karibuni utaiacha nyuma; sasa sijui ni ngazi gani mbovu zaidi ya hapo utakayo iingia.
Nasema hivi, kama kugundua na kuziweka wazi hila za chadema ndiyo uchizi basi mi Niko tayari kuvuka mpaka wa uchizi huo
 
Unatoa mifano ambayo haiendani kabisa. Nani alisema Trump ni maigizo? Maigizo ya risasi kupiga sikio na kwenda kuua mtu? Au ilikuwa ni mijadala ya Bongo? Kwa sababu ndiko kwenye watu wanaotumia tumbo kufikiri.
Hii inakuonyesha ni kiasi gani cha tofauti za uelewa tulioi nao hapa JF. Mtu akisikia jambo tu, bila ya kujuwa undani wake, tayari na yeye anakuwa mjuwaji wa kulisemea jambo hilo.

Hali hii sasa imetapakaa nchi nzima, na hasa huko maofisini ndiyo kabisa!
 
wAAYu9E.jpg
 
Back
Top Bottom