Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

Nionyeshe isiyo 'garbage' uliyo andika wewe; halafu tutaanzia hapo kuonyesha nani 'garbage' kiuhalisia.

Ilikuwa rahisi tu utafakari na kujibu swali hilo, ambalo naona huna uwezo wa kulijibu; kwa sababu akili ya kufanya hivyo huna.

Usifikiri wote wanao kuja humu JF wanakuja kushabikia ujinga wa aina hii mnao jaza humu jukwaani kila siku.
Wewe kwa akili zako CHADEMA wanaweza kushirikiana na CCM kuteka viongozi wa ACT?

Hiyo kama sio garbage ni nini? ni zaidi ya garbage ni super bullshit kiwago Cha SGR
 
Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao.
1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police.
2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja.
3. Police haraka wametoa tamko na kusema wanafuatilia.
4. Mpaka sasa Zitto ni kama anatoa tu kauli za umakini flani ambazo zina maswali kadhaa

Huu utekaji ni kama drama au kuna sarakasi zinapigwa hapa. Sioni kama nu utekaji wa Mzee Kibao au ule wa Soka. Abdul Nondo yupo salama salimini atarudi akiwa salama salimini na watekaji hawa watafahamika haraka sana ni wapinzani wa ACT.

Hizi ni sarakasi kabisa mtu anabinuka samasoti lakini tu akiwa amevaa taulo. Nimekaa hapa. Abdul Nondo ni mzima atapatikana bila shida na waliomteka watafahamika tu. ITAJULIKANA.
Hakuna jipya
N mwendelezooo mkuu
Kazi iendelee
 
Kama kyzidahamu hila za chadema ndiyo uchizi basi acha niendelee kuwa chizi maradufu.....nyie sio wenyewe ndo maana mkaitwa nyumbu, ndo maana mnafeli Kila siku.
Mnatoa watu Kila siku kujiunga ccm lkn hatumsikii zitto akihangaika na nyie, yeye akifanya au kukutwa na lolote basi mnatoka mbio vyooni huko bila kuchamba au kujiswafi vizuri na kuja kumshambulia. MnA shida gn nae?!!!!!!! Amewapyambyia wake zenu?!!!!!
Hata kwenye ngazi hiyo ya "uchizi" inaonekana karibuni utaiacha nyuma; sasa sijui ni ngazi gani mbovu zaidi ya hapo utakayo iingia.
 
Wewe kwa akili zako CHADEMA wanaweza kushirikiana na CCM kuteka viongozi wa ACT?

Hiyo kama sio garbage ni nini? ni zaidi ya garbage ni super bullshit kiwago Cha SGR
Kwani nimesema hivyo mimi, au ni akili yako potofu inayo tafsiri hivyo!

Hilo lilikuwa ni swali lililo tokana na maandishi yako. Unacho takiwa ni kujibu swali.
 
Watu wanamwagiwa Hadi tindikali wewe unasema maigizo?
Mbona wewe haujawahi kuigiza kutekwa?
 
Some

Sometimes Yes and sometimes no. Mfano Trump kutaka kuuwawa, ilikuwa maigizo au kweli. Kama ni maigizo mbona aliyetaka kumuuwa, aliuwawa haraka pia.
Unatoa mifano ambayo haiendani kabisa. Nani alisema Trump ni maigizo? Maigizo ya risasi kupiga sikio na kwenda kuua mtu? Au ilikuwa ni mijadala ya Bongo? Kwa sababu ndiko kwenye watu wanaotumia tumbo kufikiri.
 
wAAYu9E.jpg
 
Kwani nimesema hivyo mimi, au ni akili yako potofu inayo tafsiri hivyo!

Hilo lilikuwa ni swali lililo tokana na maandishi yako. Unacho takiwa ni kujibu swali.
Acha ubabaifu, ulisema CHADEMA wanashirikiana na ccm...

Au sasa umegundua kwamba ulikosea kuandika hiyo garbage?
 
Acha ubabaifu, ulisema CHADEMA wanashirikiana na ccm...

Au sasa umegundua kwamba ulikosea kuandika hiyo garbage?
AIIISEEEE!

Nilipo tilia mashaka "akili zako" hapo mwanzo sikuwa nimekosea!
 
AIIISEEEE!

Nilipo tilia mashaka "akili zako" hapo mwanzo sikuwa nimekosea!
Kweli hujakosea, akilia zangu zimeona kwamba uliandika garbage bila kufikiri, sasa umegundua unatafuta pa kutokea.
 
Kweli hujakosea, akilia zangu zimeona kwamba uliandika garbage bila kufikiri, sasa umegundua unatafuta pa kutokea.
Mkuu 'Bob Manson', sijui ni kwa nini, lakini nilipo ona jina lako mara ya kwanza 'Bob Manson', nililihusisha tofauti kabisa na hivi unavyo jionyesha sasa!
 
Mkuu 'Bob Manson', sijui ni kwa nini, lakini nilipo ona jina lako mara ya kwanza 'Bob Manson', nililihusisha tofauti kabisa na hivi unavyo jionyesha sasa!
Pia nilivyoona jina "Kalamu" na nilipoona hilo jina na neno la Platnum member, nikapata mshagao kuona unaandika CHADEMA wanashirikiana na CCM kiteka watu wa ACT
 
Pia nilivyoona jina "Kalamu" pia nilipoona hilo jina na neno la Platnum member, nikapata mshagao kuona unaandika CHADEMA wanashirikiana na CCM kiteka watu wa ACT
Wewe umeingia humu tokea 2021. Ni muda mrefu kidogo wa kuweza kujitathmini unacho andika humu na wanacho andika wengine.
Hakuna sababu hata kidogo ya kuanza kupotezeana muda wakati majibu yamo humu humu ndani ya Jukwaa la Siasa la JF.
Sawa, mkuu wangu 'Bob'?

Kuhusu hilo shauri la mimi kuandika "CHADEMA kushirikiana na CCM..."; jaribu kujisitiri kidogo na kusema uongo ulio wazi!
 
Wewe umeingia humu tokea 2021. Ni muda mrefu kidogo wa kuweza kujitathmini unacho andika humu na wanacho andika wengine.
Hakuna sababu hata kidogo ya kuanza kupotezeana muda wakati majibu yamo humu humu ndani ya Jukwaa la Siasa la JF.
Sawa, mkuu wangu 'Bob'?
Kuwa Jf tokea 2021 sio sababu ya kuhalalisha au kukubali kwamba ccm wanashirikiana na chadema, kama uliandika bila kufikiri rekebisha kauli na sio kushauri wengine kwasababu za kujoin Jf 2021.

Sawa, mkuu wangu Kalamu'
 
Basi utakuwa unayoi matatizo mengine makubwa zaidi ya nilivyo dhani. Pengine bangi zimekuzidi kichwani.
 
Basi utakuwa unayoi matatizo mengine makubwa zaidi ya nilivyo dhani. Pengine bangi zimekuzidi kichwani.
Unatafuta pa kutokea kwa visababu vya kuvuta bangi, garbage uliyo andika haifanani na umri wako faza.
 
Unatafuta pa kutokea kwa visababu vya kuvuta bangi, garbage uliyo andika haifanani na umri wako faza.
Kwa nini uhangaike hivi wakati maneno yenyewe unayo lazimisha kuwa yangu yapo kwenye mada hii hii. Hivi huwezi hata kuoona aibu?
 
Kama nime waelewa wewe na mleta mada:
Kwa mara ya kwanza kabisa CHADEMA wana shirikiana na jeshi la polisi kufanikisha utekaji wa kiongozi wa ACT-Wazalendo! Hivi kweli Mnazo akili nyie?
Haya sio maneno yako Mr. Kalamu ?
 
Back
Top Bottom