CCM, hata pale wewe unapofikiria ni mazingira ya majonzi, huzuni na gharama, kwao ni fursa ya kutengeneza pesa.
Ukitaka kuthibitisha, litolewe agizo kuwa kiongozi yeyote atakayeenda kwa hao wenzetu waliopatwana maafa ajigharamie, na ikiwezekana aende na chochote cha kuwasaidia waathirika, uone jinsi idadi ya hao viongozi itakavyopungua!!
Viongozi wa CCM na serikali yake, hitafutia pesa mpaka kwenye maiti. Siku moja nilimsikia kiongozi mmoja akisema kuwa hakuna pesa iliyo ya bure kabisa ya UNHCR. Alichokiwa anamaanisha ni pesa ambayo ni rahisi kuifisadi, na wala huwa haifuatiliwi.