Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

CCM, hata pale wewe unapofikiria ni mazingira ya majonzi, huzuni na gharama, kwao ni fursa ya kutengeneza pesa.

Ukitaka kuthibitisha, litolewe agizo kuwa kiongozi yeyote atakayeenda kwa hao wenzetu waliopatwana maafa ajigharamie, na ikiwezekana aende na chochote cha kuwasaidia waathirika, uone jinsi idadi ya hao viongozi itakavyopungua!!

Viongozi wa CCM na serikali yake, hitafutia pesa mpaka kwenye maiti. Siku moja nilimsikia kiongozi mmoja akisema kuwa hakuna pesa iliyo ya bure kabisa ya UNHCR. Alichokiwa anamaanisha ni pesa ambayo ni rahisi kuifisadi, na wala huwa haifuatiliwi.
 
Wooote waliofurika hanang ni mapesa tu wamejaza kwenye makaratasi, yaani wahanga wataambulia pakti ya chumvi na majani
 
Pole kwa kuchelewa kulijua hilo Mkuu.

Everybody is for himself.!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.

Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.

Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
 
Back
Top Bottom