Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

Mambo ya khatesh

Ova
 
Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.

Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.

Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Unaambiwa CCM ndiyo adui wa taifa.....hawa wote wameenda huko baada ya kusikia kuwa Rais anarudi safarini anakwenda kushuhudia janga huko Hanang. Never trust viongozi wa serikali, ni majangili ya fadhila tu na wachawi wakubwa.
 
CCM si kwa ajili ya watanzania
 
Majaliwa wa ndege anatakiwa asikose maana ndo Sehemu zake hizi
Mkuu tatizo ni kuwa yupo na idara ipo lakini nchi inaongozwa na malkia.
Yaani wengine wapo kusubiri maelekezo! Aibu sana!
Soma hiyo attachment.
20231205_063841.jpg
 
Unaambiwa CCM ndiyo adui wa taifa.....hawa wote wameenda huko baada ya kusikia kuwa Rais anarudi safarini anakwenda kushuhudia janga huko Hanang. Never trust viongozi wa serikali, ni majangili ya fadhila tu na wachawi wakubwa.
Cha kushangaza zaidi wameenda lakini maelekezo bado yanatoka kwa Rais!
Sasa why watumie gharama zote zile alafu hawana solutions??
Aibu!
 
Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.

Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.

Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Watu wanaenda kupiga pesa, hilo tukio ni fursa nzuri sn kwao
 
Cha kushangaza zaidi wameenda lakini maelekezo bado yanatoka kwa Rais!
Sasa why watumie gharama zote zile alafu hawana solutions??
Aibu!
Mzee kwa siku moja wanajilipa 250,000 chumba kizuri Katesh kwa siku 10,000 mpka 15,000, hata wewe ungeenda mkuu hapo amejilipa zaidi ya siku 10 anaenda kulala siku 1.
 
Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.

Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.

Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
sasa luxury bus ina massaging seat?
 
Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.

Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.

Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.

Siku ukipata tatizo ndo utatambua umuhimu wa watu kuwa karibu yako kwa wakati huo!
Pesa, Mali na Utu, bring true definition of careness!
 
wasipoenda kelele wakienda kelele
bado hatujajua tunataka nini
 
Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.

Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.

Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth yalitengwa mabasi lakini watu walilalamika. Nchi ambazo nimepitia iwe sherehe au maafa, wanapoitwa wakuu wa idara, huwa wanapewa mabasi.
Ni Tanzania pekee waziri mkuu anakwenda na msafara. Hata hivyo wanachagua pa kwenda. Waje kule Katoro bukoba vijijini waone barabara. Hawaji ng'o!
 
Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.

Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.

Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Ulitaka waende na ungo,mnapenda kurahisisha maisha nyie,yaani wakuu wote muwalundike kwenye bus moja bila kujali kila mtu na ratiba zake na ametoka mkoa tofauti either kikazi or kibinafsi.
 
Unamawazo ya ovyo sana. Wapande bas moja wote????, Bro hao ni viongozi + watawala, (hakuna namna unavokukataa kuhusu Hilo) ivyo no way out ni lazima wawe tofauti na raia ya kawaida Kwa nyanja zote. Labda tuseme unafikiria kusevu money, ila huwaza ukafanya Ivo, Kuna namna nyingine ya kusevu money. Like kutuma wawakilishi wachache instead of kwenda msafara mkubwa.
 
Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.

Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.

Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Wakipanda luxury bus hadhi itashuka
 
Ulitaka waende na ungo,mnapenda kurahisisha maisha nyie,yaani wakuu wote muwalundike kwenye bus moja bila kujali kila mtu na ratiba zake na ametoka mkoa tofauti either kikazi or kibinafsi.
Unawaza kitajiri wakati tupo kwenye nchi masikini! Upo mbali sana na ukweli
 
Back
Top Bottom