Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa CCM ndiyo adui wa taifa.....hawa wote wameenda huko baada ya kusikia kuwa Rais anarudi safarini anakwenda kushuhudia janga huko Hanang. Never trust viongozi wa serikali, ni majangili ya fadhila tu na wachawi wakubwa.Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.
Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.
Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
CCM si kwa ajili ya watanzaniaWadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.
Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.
Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Mkuu tatizo ni kuwa yupo na idara ipo lakini nchi inaongozwa na malkia.Majaliwa wa ndege anatakiwa asikose maana ndo Sehemu zake hizi
Cha kushangaza zaidi wameenda lakini maelekezo bado yanatoka kwa Rais!Unaambiwa CCM ndiyo adui wa taifa.....hawa wote wameenda huko baada ya kusikia kuwa Rais anarudi safarini anakwenda kushuhudia janga huko Hanang. Never trust viongozi wa serikali, ni majangili ya fadhila tu na wachawi wakubwa.
Pathetic
Watu wanaenda kupiga pesa, hilo tukio ni fursa nzuri sn kwaoWadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.
Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.
Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Mzee kwa siku moja wanajilipa 250,000 chumba kizuri Katesh kwa siku 10,000 mpka 15,000, hata wewe ungeenda mkuu hapo amejilipa zaidi ya siku 10 anaenda kulala siku 1.Cha kushangaza zaidi wameenda lakini maelekezo bado yanatoka kwa Rais!
Sasa why watumie gharama zote zile alafu hawana solutions??
Aibu!
sasa luxury bus ina massaging seat?Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.
Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.
Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.
Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.
Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Ahahahahaha! Tena atakuwa amewakomesha kweli! Ahahahahaha!!Nenda wewe huko na bodaboda yako basi loh!
Kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth yalitengwa mabasi lakini watu walilalamika. Nchi ambazo nimepitia iwe sherehe au maafa, wanapoitwa wakuu wa idara, huwa wanapewa mabasi.Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.
Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.
Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Ulitaka waende na ungo,mnapenda kurahisisha maisha nyie,yaani wakuu wote muwalundike kwenye bus moja bila kujali kila mtu na ratiba zake na ametoka mkoa tofauti either kikazi or kibinafsi.Wadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.
Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.
Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Wakipanda luxury bus hadhi itashukaWadau nimetizama msafara wa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa mbalimbali, wakuu wa wilaya mkoa Manyara na wengine wengi.
Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.
Mungu turehemu waja wako. Tanzania bila CCM inawezekana.
Unawaza kitajiri wakati tupo kwenye nchi masikini! Upo mbali sana na ukweliUlitaka waende na ungo,mnapenda kurahisisha maisha nyie,yaani wakuu wote muwalundike kwenye bus moja bila kujali kila mtu na ratiba zake na ametoka mkoa tofauti either kikazi or kibinafsi.