Huwa kila siku natafakari umuhimu wa Baba katika maisha ya kila Familia

Huwa kila siku natafakari umuhimu wa Baba katika maisha ya kila Familia

Sio dharau ni proper analysis of what this human being did....

Siwezi toa evaluation ya uongo sababu it happened ni baba yangu

Mkuu dont hide behind your kids eti watadanganya about your life,never

I'm an independent human being,i give my independent analysis,sidanganyi au kuficha sababu ya upumbavu unaoitwa "dharau",thats nonsense

My kids and peers will evaluate me with my decisions I have made throughout my life unbised

Hiyo hoja mufilisi ya "dharau" ni yako mzee
Binafsi naona kama unajaribu kulinganisha maamuzi ya Baba yako na ya watu wengine au ya kwako, Kumbuka whatever decisions alizofanya ni za kwake hata kama zingine zimekuhusu, na wewe unatakiwa kufanya decisions zako, hiyo ndio mana halisi ya maisha. Kila mtu anaishi maisha yake, Shukuru tu kwa kitu kimoja kuwa amekuzaa, mengine achana nayo, fanya unachoona ni sawa kwa watoto wako.
 
Tena wa kiume ndo hawana time na dingi, wanaona anazingua kila kitu ni kwa mother. Watoto wa kike ndo wanakuwaga na uchungu na baba...
Siyo hivyo unakuta baba hana tyme na wee hana muda atakaokuita uje hata upigie naye story kila mkionana sura kaikuja au yuko vyombo
 
So nini kilifuata? Hebu andika taarifa kama msomi kaka!
Nilikuwa naonyesha jinsi mababa wanavyojitoa kwa watoto wao,sio story hii

Kwa mapenz makubwa ambayo baba angu alkuwa nayo juu yangu(maana hata nilpokuwa chuo na shule,skuwah kuomba hela hata kama ni za uongo,alkuwa hakatai,lazima atume),yeye n mpenz sana wa mpira nilkuwa napanga mambo yakiwa mazuri ntahakiksha baba angu nampatia kila kizur anachokpenda ikiwemo kuhakiksha mpira wa dunia nzima anautazamia akiwa sebulen kwake,na hilo nimelitimiza kwa kushirikiana na yey
 
Sisi alitufukuza usiku wa mbaramwezi nakumbuka kulikuwa na umande tukapitia uwanja wa michezo ulikuwa nyuma kidogo ya nyumba. Mama alikuwa anaogopa mbwa hivo hatukupitia kwa nyumba za majirani, mzee ana kacheo flani hakuna jirani angeweza tuhifadhi. Sikumbuki tulilala wapi nilikuwa mdogo bado.

Kumbukumbu yangu nyingine na mzee ni pale amekutana na mimi bila kutarajia wilaya nyingine giza linaanza ingia hivi amelewa anaongea lugha na sauti tofauti kidogo, aisee sikumtambua. Alinishikashika na kuniongelesha nilikuwa na binamu, nilipofika kwa mama nikamshtaki mzee kwamba kuna mwanaume nimekutana naye kanishikashika. Kipindi utotoni tunapigwa marufuku kuongea na strangers.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]mpaka nimeogopa aisee
 
Shukuru Mungu kama Ulizaliwa na baba wa aina hiyo! Siyo watoto wote wana historia kama hizo na baba zao!

Sidhani kama kuna mtu anayemchukia baba yake bila sababu! Ukikuta mtu anamchukia baba yake tafuta kujua chanzo!

Na mara nyingi mtoto akimchukia baba yake lawama zote hutupiwa mama! Wamama wengi wana wakati mgumu sana!
Mama yangu aliaga dunia miaka kadhaa kwa presha..ugonjwa huo wa moyo ukiangalia kwa makin baba ndio sababu.....simchukii baba namwambiaga nampenda sana....cha ajabu yeye analiaga sana anapokumbuka matendoyaliyochangia mauti....huwa tunamwambia baba sio kosa lako ni wanawake wanaovia wanaostaaffu, kuwarubini na kula pensheni ambapo mke aliyemfulia nguo ameingia mavumbini....wazee wetu wanastahili mapenzi

Mnappiga hizi stor anzeni kwa nje
 
Baba ame'hustle hadi kutufikisha ukubwani
Na tunashukuru kwa hilo

shida za Baba:Mkali sana hadi leo.,hata kama unamtendea jema ukikosea kidogo ni shida kubwa

wababa msiwe wakali sana.,
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hapo umeingia kwenye suala lingine.....kwa haya ya mama kubeba mimba, kuzaa na kunyonyesha hakuna kiumbe mwingine amepewa uwezo huo zaidi ya jinsia ya Ke/ Mama..... watoto wengi hawana mapenzi na baba zao si kwamba kwa kuwa akina baba hawajabeba mimba na kunyonyesha bali silka za akina baba za kutowajibika ipasavyo kwa watoto wao na hiki ndicho kinachozungumzwa kama sikosei
Uko sahihi mkuu[emoji120]
 
Mimi kwangu pamoja mzee wangu aliprovide mavazi na chakula ila bado mkuda tu.
Nakumbuka nikawa mdogo alipata demu mitaa ya jirani akawa analea demu na watoto wake wakubwa ambao hata sio wake na wakawa wanatamba kuliko sisi.
Bi mkubwa akawa analalamika tu basi tukikutana na wale majanja mtaani ni mkono mwanzo mwisho, unasemaje nimheshimu mzee badala ya kuunganisha watu yeye kawagawanya.
 
Mzee wangu pia ana familia kama tatu kila mama ana familia yake ila hakuna familia inayoelewana mwisho wa siku tunaona kama tunarogana tu, unaleta watu duniani wafarakane ili iweje kuna wazee wanazeeka ila hawajui walifuata nn duniani.
 
My father is not my role model and he will never haijalishi, alishauwa legacy yake tangu nikiwa mdogo he got no respect in our family.
Last time he kicked me out of house and we have never hold any conversation over a couple of years.
 
My father is not my role model and he will never haijalishi, alishauwa legacy yake tangu nikiwa mdogo he got no respect in our family.
Last time he kicked me out of house and we have never hold any conversation over a couple of years.
Aisee[emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom