Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Duh poleni,, fuatilieni mjue nini tatizo hasa km ni foolish age na hatari gani aliyomo huko anakoshinda kuna namna, fatilieni mjue msitulie tu eti atabadilika dunia tuliyomo imeoza yaweza kuwa ana jimama/jibaba, makundi mabaya nk
Sawa Asante,, tutajitahidi kumfatilia tujue anashinda wapi, anakula wapi na kina nani..nadhani hii itasaidia pia kujua chanzo cha tatizo
 
MKUU MLIKIUA
kwa kuanzia chukueni hayo maganda ya madawa mukaulize pharmacy au ata mnaweza kugoogle mkapata jawabu anaumwa na nn
 
Hoa kina JUNIA wenu mnawaleaga kimaandazi sana....huyo bado mtoto kamateni tandikeni mboko mpaka ajinyee😩😩......shida mnalea kimayaiyai mno mpaka watoto wanawachukulia poa
 
Pole sana Mkuu ila fuatilia haya:-

1. Ulaji wake wa chakula upoje?
2. Usafi wa mwili anajijali?

Hivyo vitakusaidieni.

Ila mwambieni dogo wake za watu akikutwa nao wahuni watampaka vaseline kimasihara na mishangazi inanyonya damu.

Ukimkuta na kashata zile za wauza kahawa jua mdogo wenu anakula bangi.

Mwisho wa yote mpo mkoa gani, usaidiwe kuzitambua tabia hatarishi za eneo lenu.
 
Sawa Asante,, tutajitahidi kumfatilia tujue anashinda wapi, anakula wapi na kina nani..nadhani hii itasaidia pia kujua chanzo cha tatizo
Ndio hakikisha mnajua hayo muhimu ndo mtajua mnaamua nini
 
Hoa kina JUNIA wenu mnawaleaga kimaandazi sana....huyo bado mtoto kamateni tandikeni mboko mpaka ajinyee😩😩......shida mnalea kimayaiyai mno mpaka watoto wanawachukulia poa
umeongea kwa ukali sana mkuu😌
 
Kwenye suala la chakula alikua anakula vizuri tu bila shida,, usafi pia yuko vizuri...kwamba ameanza kufanya mapenzi hapo ndo ninaposhindwa kuamini...ila tutaufanyia kazi ushauri wako mkuu🙏🏼
 
Hizo dawa gani zilikua? Ungetaja tujaribu brainstorm kuwa alikua anajitibu nini...

Hiyo ni balehe tu, ukubwa unamjia hovyo [emoji1]

Hapo inabidi watoke out, waongee man to man na mdingi,...ikishindikana mdingi amtie makofi,...
Tatizo siku hizi na akinababa wanatafuta sifa ya kupendwa na watoto kama akina mama...hata kuweka discipline inakua kazi..
Police iwe last resort, kama hafanyi baya lolote mdingi anatosha kurestore settings [emoji1]
 
Wew unadhani wazaz wako wangekulea ki junia junia ungekuwa who you are today......mtoto kumchapa wala si ukatuli ndugu
Sawa,, kwahiyo unashauri tumchape ili akae sawa😌
 
Shida baba nae anachukulia tu kawaida,, haoni kama kuna shida eti 🤔
 
Sawa,, kwahiyo unashauri tumchape ili akae sawa😌
Kabisa mkuu......kama mnamhurumia au mnaogopa tafuteni polisi pay him amshikishe adabu huko anakochelewaga......amin amin nakuambia msipomshughulikia now hamtaweza tena later....nina uzoefu na hilo
 
Kwenye suala la chakula alikua anakula vizuri tu bila shida,, usafi pia yuko vizuri...kwamba ameanza kufanya mapenzi hapo ndo ninaposhindwa kuamini...ila tutaufanyia kazi ushauri wako mkuu🙏🏼
Si ana miaka 17 Mkuu aminini tu kuwa ameanza kufanya mapenzi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…